Recent content by mapaina

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Professor Jay kapita kura za maoni Ubunge Mikumi

    Ccm wanapiga wananchi wooooote hadi wanachama wa Chadema,unapewa kadi na mtu wakumchaguwa unaambiwa na unapewa na kitu kidogo aka takirima,unapiga kura yako ukimaliza ruksa kuchana kadi.chadema ni wajumbe tu na viongozi wa chama Kata na mitaaaa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mtama wamkataa Nape, kumbe hakushinda yeye

    Fanyenu haraka njooni Ukawa kimya kimya october 25,tuwanyoe hawa.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumnunulia simu mwanamke

    Usimnunulie,ila akinunua simu kali kuliko ya kwako usije juta baba,mjini hapoo shauri lako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM Mbinga kwawaka moto wa wenyewe kwa wenyewe

    Hapa songea ni Mfuime,diwani wa songea mjini,ni jembe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM Mbinga kwawaka moto wa wenyewe kwa wenyewe

    Chadema wamechukuwa nani huko ndugu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu mbona hamjibu tuhuma hii?

    Wanaogopa moto umewashwa,usije ukakolea wakijibu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Kweli wa Tanzania tujitambue adui nambali moja wa nchi hii ni CCM uhalali wa namna hii uko wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Hivi!! Hata mwalimu alikuwa anapita kwa njia ya rushwa namna hii??
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Tatizo umekunywa ulansi asubuhi asubuhi hapo tanangozi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya wabunge walioshinda kabla hata ya uchaguzi

    Bulaya -bunda lembeli Kahama
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya wabunge walioshinda kabla hata ya uchaguzi

    Lusinde jimbo jipya na aliye achiwa jimbo la mbozi na Lusinde, hivi ni lisinde au lusinde
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu si pango la majambazi na wezi

    Inaelekea umetumwa,wewe? richimond ilishajibiwa ilikuwa ya bwana mkubwa,tupe ushahidi wako? Na yeye alisema kuwa mwenye ushahidi amshitaki,kwa ujumla pole saaana limewauma sana magamba mwaka huuu mmekwisha waache wananchi waamuwe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Tujiulize kwanza gazeti hilo ni la nani?
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    Kwani we ulikuwa bikraaaa!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania kwa hili ITV wamenishangaza

    Wanarudia tena baada ya taarifa ya habari kuisha.
Back
Top Bottom