Recent content by MAPAFU YA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    C kila m2 anaweza kufika kwa dc wala Rc ndg zangu muwe mnaongea nakufanya utafiti ofisi nyingi hapa tz wa2mishi wake wanakaa ofisini 2 na hawapendi uxumbufu ukifika kwa dc au Rc unaulizwa huko kwenu hakuna serikali za mitaa n.k au mlinz anakuzuia getini usiingie au secretary asa kwa mwanchi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TCU AU CHUO

    Asante sana mkuu kwa taarifa
  3. M

    JamiiForums Tanzania TCU AU CHUO

    Bachelor of education in science badae huwezi kubadili kwenda medical school lakini bachelor of Science with education ukimaliza unaruhusiwa kufanya master in medical school kama pharmacy, medical laboratory n.k
  4. M

    JamiiForums Tanzania TCU AU CHUO

    Asante ndugu, utaritibu ukoje naandika barua au
  5. M

    JamiiForums Tanzania TCU AU CHUO

    NAOMBA MSAADA WAKUU KWA ANAEJUWA nimechaguliwa BED in Science Ila Sijaipenda Napenda Bachelor of Science with education nifanyeje wakuu? ni Reapply upya au
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Hivi kuna mwenye pointi 9 aliyechaguliwa MD kwa vyuo vya Mhimbili, UDOM, KCMC au CUHAS (Bugando)?

    Ndiyo matokeo yasha toka udom na muhas weye ukiingia online utayaona. vle vle kama umechaguliwa unatumiwa massage kwenye namba yako ya cm. Mie Udom nisha tumiwa.
Back
Top Bottom