ndugu,siwezi kudanganya jamii maana najua humu siyo jukwaa la siasa, huo ndiyo ukweli wameshafanya, labda kama hiyo interview siyo yenyewe. ila mimi ninayoijua wamefanya ni ya nafasi za IT ambayo writen kulikuwa pc-3 yaani mitihani mitatu ya kufanya na ulitakiwa ufanye yote mitatu. aliyeitwa ni...