UTAJIRI NJE NJE
Ni Shamba la Eka 10, lipo Mkoa wa Tanga, Wilaya ya Korogwe, Kata ya Kilole njia ya kuelekea Kanisa la ROMA. Kutoka ilipo "round about" Mzunguko wa Kilole Mjini ni umbali wa Kilomita 3 mpaka Shamba lilipo.
Shamba lina mazao mengi mno.
Michungwa ya kuvuna Miti 1500, Mikorosho...