Maonga wa Korogwe
Member
- Dec 1, 2013
- 8
- 1
Nchi nyingi ulimwenguni viongozi wake huongoza kwa umakini, busara na hekima zote na kwa kuwasikiliza wananchi wao katika mambo muhimu kwa kuwa walisha wahi kuoneshwa cheche na wapiga kura hao. Lakini kwa Tanzania nitofauti kutokana na dhana ya "tuvumiliane jamani, watanzania wote ni ndugu" (huku wao wakitumbua vinono). Pasipo kuelewa kuwa, ukimya wetu ndiyo chanzo cha kuumia kwetu.
Naamini kelele zenye kumaanisha, na misimamo iliyotumika katika kusitisha tozo ya sh 1000 kwa line ya simu kwa mwezi zikitumika tena wakati huu umeme hauwezi kupanda bei kama ilivyotangazwa.
TAFAKARI!!!