Recent content by Maomack

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Kama tuweza kununua V8 na kupata posho za mikutano, kwanini tusijibane tukawekeza kwa vijana kwa ajili ya taifa letu?

    Makamu wa Rais anakuwa kama anawaomba wafanyakazi wa serikalini kuacha matumizi makubwa na kununua hizo V8 haitasaidia. Angeweka waraka wa serikali katika gazeti la Serikali ndio wangefuata hilo tamko vinginevyo ni sawa kama wanavyosema matibabu ya Wazee na watoto chini ya miaka mitano ni bure...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Tatizo deal limepita pembeni watu wanaumia wanataka na wao waongeze cha juu. Ni lini mmesikia serikali inapiga kelele kuhusu jersey za Timu ya Taifa kama sio watu wameona hawajaongeza sifuri kama kwenye ziara ya Rio Ferdinand.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Watoto wa kike wanataka wenyewe na wanapenda wanasema wanaogopa mimba na nyuma wanaona raha ile ile tena zaidi. Kama huamini waulize wenyewe sababu haw
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwezi wa pili sasa Mama amekosa Dawa ya Saratani (IV TRASTUZUMAB 440mg) Muhimbili Upanga

    Tatizo halijafika kwako ndio maana unaandika ujinga.Nionavyo yeye kaandika kusudi na wengine wajue yanayotokea.'Who are you' ndio matokeo yake,watu wamegoma kuchangia sasa, mnafikiri mtaweza wenyewe bila mataif ya nje kuchangia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda Atupilia Mbali Matangazo ya Jezi Mpya za Timu za Taifa. Mkataba wa mzabuni wa jezi hizo kuchunguzwa

    Labda walitabiri vijana wa Chuga lakini kwa watu wanaojielewa haiwezekani. Jamaa si alipewa pesona non -granta na ubalozi wa Marekani. Nchi ambayo inaweza ku-hack mpaka simu ya Rais wa Nchi, mimi nani nisiami I kuwa ni kweli hayuko safi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda Atupilia Mbali Matangazo ya Jezi Mpya za Timu za Taifa. Mkataba wa mzabuni wa jezi hizo kuchunguzwa

    Hili ndio tatizo la mtu kutaka aonekane.Kusema serikali imekuwa ikitumia pesa nyingi kuandaa timu ya Taifa imeanza lini,maana mara kwa mara tunaona Benki kubwa kama CRDB au NMB ndio huambiwa watoe pesa kwa ajili ya Timu ya Taifa sababu serikali haina pesa. Au Mheshimiwa kakasirika kuona Naibu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

    Wewe ndiye bwg sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

    Amekaa wiki nzima kuandika hiyo barua ya uongo angeulizwa maalbino walikuwa wanauliwa angesema hivyo hivyo Tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa wazalendo wamwekee Gwajima ulinzi au intelegensia kubwa lolote wanaweza kutokea watu wabaya kumdhuru

    Mpaka kasema aliyosema, he's not alone and time will tell 🥹
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

    Sasa ulitaka wauawe kama Tanzania wenzenu wanafuata katiba na walichokuwa wanakitaka kilikubaliwa hapa kodi kibao mnaongelea chini chini kuogopa watawala.you are zero brain 👎
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waangalizi wa Uchaguzi wataka Ripoti ya IEBC iwekwe wazi

    NJ Kwa nini we Africans inapofika karibu na uchaguzi lazima kuwe na mabadiliko ya mfumo wa kiuchaguzi wakati katiba ilishasimamia vitu vyote? Huko ni kutafuta Matatizo yasiyo na tija kwa nchi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Miezi miwili imepita bado meli ya Mv-Victoria haifanyi kazi, wananchi tuelezwe nini kinaendelea

    Sasa tuchukue uwamuzi maana nchi ni yetu tusibaki kulalamika haita saidia watabaki kuiba tu.
Back
Top Bottom