Tuachane na kulaumu mtu mmoja mmoja. Kama Watz wote au wengi wasingetaka yafanyike yaliyofanyika yasingefanyika. Kwani uliemtaja ndo alisimamia vituo vyote 80,000 Nchi nzima?
Za pilika !
Nimekuwa nikifuatilia michakato ya Uchaguzi ya vyama vingi toka 1995. Mimi ni mdau wa "utulivu" yaani tuwe na jamii tulivu. Kwanini naongelea UTULIVU? . Utulivu ndo hasa kitu pekee halisi kinachoweza kuwepo katika kundi la binadamu wanao kaa/Ishi pamoja.
Kiasili hakuna usawa wa...
Katika mambo yatakayoiangusha CCM Ni kuongelewa flyovers Kasulu, shumbawanga, Tarime, Serengeti, karatu, Mbulu.
Kuongelewa SGR Ngara, Mtwara,.Songea, Kilwa, etc.
Kuongelewa Stiglers.
Hayo Ni Mambo mazuri lkn katika maeneo ambayo miradi hiyo haigusi moja kwa moja Basi itafutwe lugha fafanuzi
Umepoteza Credibility na Branding yako uliyijenga kwa muda mrefu kwa njaa za tumbo.
Makala zako kwa Sasa inatosha tu kusoma heading, inakuwa haina haja ya kuingia ndani kupoteza muda.
Pole Sana Mayala, hekima inasema huwezi kumfundisha mbwa Mzee mbinu Mpya, hivo hivo inashauri ukiwa Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.