Recent content by ManziCute

  1. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    USISEME
  2. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike kwa mahusiano ya dhati

    Aaaanh unahitaji nini...????hehehehe
  3. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Uyu binti akil empty aiseee alitakiwa apange na mumewe mtarajiwa kias ambacho mume kajiandaa pili angeenda kuongea na wazaz wake kuhus mahal hiyo kabla mchumba kwenda akisema asikilize wazaz atadodea nyumban watoto wote atazalia nyumban afu hawo hawo wazaz waliyotak kumuoza kwa gharama kubwa...
  4. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

    Njoo chukua zawadi aiseee
  5. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    Ndio leo ndo mume wangu
  6. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke wa Kitswana kutoka Afrika Kusini anaupendo wa kweli au ni tapeli wa mtandaoni?

    Mimi nachokushaur hapo usikurupuke mkalishr bench kwa huyo bint kama anania kwel ata vumilia coz kuna watu huwa wanaenda huko south kwa kigezo kuwa wamepata wachumba.... Mfano kuna binti alipatana na mkaka mtandaoni kaka huyo anaish south sasa uyo kaka akatoka south akamfuata TZ wakaspend mkaka...
  7. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

    We kenge sa ujinga wanan boya wew Et tunaitanaga wife na husband Tena akuongeze lingne kimav wewe
  8. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Umeongea GUD uyo mtu ni mshenzi sana
  9. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila niki-cheat ananiambia ameota ndoto kuwa nina Mwanamke mwingne

    Nyie mambo hayo yapo kabisa hasa ukimpenda mtu kiukwel kunakuwa nafs kabisa inakusemesha...mimi hiyo hali iliwah nikuta sio kucheat mbaka akifanyiwa kitu kibaya naota live kabisa na nikimuuliza anakubali au ikiwa mchana akifanyiwa kitu kibaya moyo unauma sana na nikimpgia sim anakuwa hayuko sawa...
  10. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuoe Wanawake wenye hela, kazi nzuri na wanaotokea familia za kitajiri

    Nsubir nije nione mke wako kwa ham ambae ametoka katika familia ya kitajir
  11. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake sema mnapenda kuolewa na wanaume wa namni gani?

    Yoyote atakaye tupenda kwa moyo wote
  12. ManziCute

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa msichana kuolewa ni upi?

    Pale anapokutana na mtu sahihi
  13. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana

    POINT
  14. ManziCute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namshukuru sana Mzee wangu kwa kunifanya kuwa "mwanaume"

    Hii nzur
  15. ManziCute

    JamiiForums Tanzania Aina 15 za wanawake ambao ukikutana nao unapaswa kuvaa condom

    Yan wee justine nakuonaga youtube mbaka huku upo na hiyo picha yako ubadilishi
Back
Top Bottom