Recent content by manzese

  1. M

    JamiiForums Tanzania syllabus ya networking

    we bora udownload kitabu kinaitwa network fundament kiasi kitakupa mwongozo ila netni kubwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania re: msaada kupata star tv kwenye receiver

    natumia strong receiver SRT 4620 tatizo sipat star tv na wamebadili satellite ,frequence na mengine naomba uelewesho na jinsi ya kupata mana ntaifanya mi io kazi,naomba mwongozo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kioo cha laptop

    yap wapendwa naomba msaada wa kuunganisha star tv sipate kwenye receiver na wala sijui frequence zake mana wamebadili na jinsi ya kuunganisha mi natumia receiver aina ya strong srt 4620 dish halijachezewa, naomba io procedure
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kioo cha laptop

    kama unataka used nenda pale karume jengo la biashara kwa mafund vipi ving bei kuanzia 60000
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kuhusu wif networks

    hapo ofisin kwenu wamebadili key *security key*na ushukuru hawajakufuma.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

    helo waungwana nikaribisheni asanteni:A S-fire1:
Back
Top Bottom