Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,041
- 14,962
Wana jamvi natafuta kioo cha laptop dell inspirion N4010 ambaYe anaweza nisaidia anipe bei na anapatikana wapi....
Nenda maeneo ya surrender bridge kuna authorized dealer wa dell nadhan watakusaidia
Sullender bridge upande gani? Na bei zao zinalalia kuanzia ngapi mpaka ngapi???
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
yap wapendwa naomba msaada wa kuunganisha star tv sipate kwenye receiver na wala sijui frequence zake mana wamebadili na jinsi ya kuunganisha mi natumia receiver aina ya strong srt 4620 dish halijachezewa, naomba io procedure