Recent content by manzawa

  1. M

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Asante sana ndugu yangu nitafanya hvyo nimwkuwa nkikutafta sana muda kuweza kukuuliza Ila nashukuru sana ndoto zinatisha sana hasa unapoikumbuka yote asubuh
  2. M

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Ila nateseka sn na hizi ndoto zimekuwa muoga sn kulala. Na hata kutembea sehemu nazohisi kunaweza kuwa na nyoka maana lazima ntakutana nae km usiku nilimuota tena rangi hadi ukubwa. Kuna sehemu nilienda ugenini ñkamuona choon wenye nyumba wakashangaa sn wakasema toka wamehamia hawajawah kuona...
  3. M

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Mimi huwa naota ndoto za manyoka na huwa hayaniumi ila asubuh nkiamka lazima ntakutana na nyoka na ntamuua Mara chache sn wamekimbia yaan ndoto za manyoka zimekuwa kawaida na kuna siku wanakuwa wengi sn ndani baba yng anawaambia ndugu zngu msiwauwe eti mpk nije mie.yaaan ndoto zimekuwa hvyo km...
  4. M

    Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Chini ya huyu Mkuu shule ilitulia tuliokuwa pale enzi hzo tunajua haya yanayotokea sasa duuh mapya na yanashangaza
  5. M

    Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Chini ya huyu Mkuu shule ilitulia tuliokuwa pale enzi hzo tunajua haya yanayotokea sasa duuh mapya na yanashangaza
  6. M

    Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

    Ukikaa ukafkiri ukosahihi asili mia moja
  7. M

    Smartphones, Ipads, Smartwatches, Tablets & Laptops, Projectors

    Angalizo sijanunua Kwa huyu muuzaji jamn.
  8. M

    Smartphones, Ipads, Smartwatches, Tablets & Laptops, Projectors

    Jamani Mimi naomba kuuliza kwani c9 huwa inashida gani kwenye internet yangu inazingua sn, wajuzi nielewesheni.samahani lakn Kwa kuingilia uzi
Back
Top Bottom