Recent content by manywangari jean malonkwa

  1. M

    CHADEMA yafungua kesi kwenye Mahakama ya Haki EAC dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli

    Mkuu sidhani kama wamejiridhisha kabla ya kuamua kwenda huko, kwanza ukisoma vzr the Treaty for the Establishment of East African Community, hatoi kwa uwazi jurisdiction to the East African Court of Justice Ku deal na human right issues japo imekuwa ikijitahidi kuforce jurisdiction kwa kubase on...
  2. M

    Lowassa kakosea? Hapana, tujikumbushe ushauri huu

    Bila shaka we jamaa umeambiwa ukane yote uliyoandika enzi hizo, vinginevyo mdomo hautaenda kinywani, uliyemwita mwizi ndo kwenye Chama, huna pa kutokea ndo unamlamba miguu hivoo eti!
  3. M

    Serikali ya Magufuli kutoza VAT kwenye "on transit goods" ni aibu na fedheha!

    Hata mm nimemskia bwana Kayombo leo, anasema VAT inatozwa kwenye watoa huduma, ametolea mfano wanaoshusha na kupakia mizigo kwamba pesa wanayoipata ilikuwa hailipiwi VAT ndo kwa sasa wametakiwa kulipa!
  4. M

    ACT na ndoto ya vijana kushika hatamu siasa za 2025.

    Miaka kumi ya Mheshimiwa Jakaya Kikwete imeibua vijana wengi ktk siasa za Nchi, listi ni ndefu kuanzia Zitto Zuberi Kabwe, John Mnyika, January Makamba, Mwiguru Nchemba, Ben Saanane, Hamis Kigwangala, Halima Mdee, Ester Bulaya, Juliana Shonza na wengine kibao. Lkn wengi kizungumkuti cha namna...
  5. M

    Kikwete mwanasiasa wa karne: Kama aliweza kucheza muziki wa Lowassa, wa Magufuli ni cha mtoto

    Hiyo mijitu yenye akili, namfahamu pof. Mmoja ni mtu wa kusini jina lake linaanza na herufi M!
  6. M

    Kikwete mwanasiasa wa karne: Kama aliweza kucheza muziki wa Lowassa, wa Magufuli ni cha mtoto

    Mzee Warioba na kampani yake walifanya kazi yao kwa uzuri mno!
  7. M

    Walimu wenye vyeti feki watakiwa kujisalimisha kwa hiari kabla ya shuruti

    Jamii forum bana, yaani mwizi anaweza kukuibia half akaja kujigamba ukaishia kumeza mate tu!
  8. M

    Mbowe, kwanini usifanye maamuzi kama ya David Cameron, wananchi hawakuelewi

    Wana logic namna wanavyompata Mwenyekiti, kwanza hadi achaguliwe kugombea uraisi anapitia chaguzi za kutosha, lkn logic nyingine ni kuwa kama amekubalika kwa watanzania walio wengi kwa nini CCM washindwe kumkubali!
  9. M

    Mbowe, kwanini usifanye maamuzi kama ya David Cameron, wananchi hawakuelewi

    Mbowe akiachia uenyekiti na chama kinadumaa hadi hapo mwanauko mwingine atakapokikamata ndo kirudi, pona pona ya chama akiachia Mbowe apewe mwanaukoo tena!
  10. M

    Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Ha ha ha ha ha, mkuu nayaona maumivu nafsini kwako, mtaani kwetu kuna Mzee mmoja alishawahi kuibiwa baiskeli miaka ya nyuma, yeye akisikia kelele za mwizi cha kwanza anatafta lungu lake, pili lazima aje na kiberiti na tatu lazima aje na nyasi zilizokauka za kutosha!
  11. M

    Wanafunzi 24,000 Kutojiunga na kidato cha 5 sio inshu: Tupo busy tunatumbua MAJIPU

    Kuna ambao wameachwa kwa kuwa wana zaidi ya miaka 25.
  12. M

    Walioaminishwa kwamba mahakama ya mafisadi ni ya kumfunga Lowassa wamekata tamaa

    Mm nadhani badala ya kumsumbua huyu, ungefanya rahisi tu, nenda ufipa uwaulize viongoz waandamizi wa CDM maana wao wana hadi ushahidi!
Back
Top Bottom