ACT na ndoto ya vijana kushika hatamu siasa za 2025.

Mar 17, 2016
193
188
Miaka kumi ya Mheshimiwa Jakaya Kikwete imeibua vijana wengi ktk siasa za Nchi, listi ni ndefu kuanzia Zitto Zuberi Kabwe, John Mnyika, January Makamba, Mwiguru Nchemba, Ben Saanane, Hamis Kigwangala, Halima Mdee, Ester Bulaya, Juliana Shonza na wengine kibao.
Lkn wengi kizungumkuti cha namna karata za uchaguzi mkuu uliopita zilivyochangangwa kimewafanya kuanza kutafta namna mpya ya kutimiza ndoto zao. Kwa vijana wa Chama cha Mapinduzi, 2025 wanaamini hakuna namna zaidi ya kupewa hatamu, yaani kwao ndo mwisho wa kizazi cha kina JK hivyo lazima wapewe kijiti, ni kama 1995 inayojirudia.

Lkn kwa upande wa vijana wa upinzani ni kama hawaioni nafasi hiyo ikitokea, hawaoni wakipewa nafasi ya kuja kupambana na vijana wenzao wa CCM. Sasa wameamua kujiandalia makao, makao yatakayowawezesha kuweka mikakati na mipango mathubuti itakayowawezesha kupambana kwa uzuri na vijana wa CCM pale 2025!

Baada ya tafakuli ya kina sasa wameamua ACT Wazalendo liwe ndo tumaini lao, tusubiri tuone.
 
Asante ACT , nyie ndio chama kikuu cha upinzani.

Hatuna hamu tena na wabadilisha gia angani na wasaliti chadema
 
Miaka kumi ya Mheshimiwa Jakaya Kikwete imeibua vijana wengi ktk siasa za Nchi, listi ni ndefu kuanzia Zitto Zuberi Kabwe, John Mnyika, January Makamba, Mwiguru Nchemba, Ben Saanane, Hamis Kigwangala, Halima Mdee, Ester Bulaya, Juliana Shonza na wengine kibao.
Lkn wengi kizungumkuti cha namna karata za uchaguzi mkuu uliopita zilivyochangangwa kimewafanya kuanza kutafta namna mpya ya kutimiza ndoto zao. Kwa vijana wa Chama cha Mapinduzi, 2025 wanaamini hakuna namna zaidi ya kupewa hatamu, yaani kwao ndo mwisho wa kizazi cha kina JK hivyo lazima wapewe kijiti, ni kama 1995 inayojirudia.

Lkn kwa upande wa vijana wa upinzani ni kama hawaioni nafasi hiyo ikitokea, hawaoni wakipewa nafasi ya kuja kupambana na vijana wenzao wa CCM. Sasa wameamua kujiandalia makao, makao yatakayowawezesha kuweka mikakati na mipango mathubuti itakayowawezesha kupambana kwa uzuri na vijana wa CCM pale 2025!

Baada ya tafakuli ya kina sasa wameamua ACT Wazalendo liwe ndo tumaini lao, tusubiri tuone.
Amini nawaambia hiki chama hakitakuwepo baada ya uchaguzi wa 2020.Chama kilichoundwa katika misingi ya usaliti hakiwezi kudumu kamwe! Dhambi ya usaliti haitawaacha,watasalitiana wenyewe kwa wenyewe mpaka chama kisambaratike.
 
Miaka kumi ya Mheshimiwa Jakaya Kikwete imeibua vijana wengi ktk siasa za Nchi, listi ni ndefu kuanzia Zitto Zuberi Kabwe, John Mnyika, January Makamba, Mwiguru Nchemba, Ben Saanane, Hamis Kigwangala, Halima Mdee, Ester Bulaya, Juliana Shonza na wengine kibao.
Lkn wengi kizungumkuti cha namna karata za uchaguzi mkuu uliopita zilivyochangangwa kimewafanya kuanza kutafta namna mpya ya kutimiza ndoto zao. Kwa vijana wa Chama cha Mapinduzi, 2025 wanaamini hakuna namna zaidi ya kupewa hatamu, yaani kwao ndo mwisho wa kizazi cha kina JK hivyo lazima wapewe kijiti, ni kama 1995 inayojirudia.

Lkn kwa upande wa vijana wa upinzani ni kama hawaioni nafasi hiyo ikitokea, hawaoni wakipewa nafasi ya kuja kupambana na vijana wenzao wa CCM. Sasa wameamua kujiandalia makao, makao yatakayowawezesha kuweka mikakati na mipango mathubuti itakayowawezesha kupambana kwa uzuri na vijana wa CCM pale 2025!

Baada ya tafakuli ya kina sasa wameamua ACT Wazalendo liwe ndo tumaini lao, tusubiri tuone.

Shonza naye ni mwanasiasa?
 
Back
Top Bottom