Unataka kuniambia kabla hajapewa hicho cheo walikuwa hawajui huyu Mussa ni mtu wa namna gani?
Muhimu kwanza tuone governing document yao inasemaje kuhusu uongozi na namna anavyopatikana na awe na sifa zipi
Kiasi Rais Magufuli awatolee nje hawa hawa watu. Hawana credibility yoyote ile to speak of.
Inakuwaje wanaomba omba huku wanamiliki majumba na ardhi kubwa sana kwenye nchi hii?
Na hii ya huyu Mussa vs Mange naona itakuwa ndio salama yao kwani itabidi wajipime kisawa sawa kama kweli wana uwezo...
Toka lini JF ikawa mahapa pa kujenga hoja?
Hakuna mwenye interest na kujenga hoja na kama huamini tazama threads 50 zilizopo kwenyejukwaa la siasa
Msimamo wangu uko pale pale
Kama Rais hana imani na Idara na wizara hizo bora akazimiliki mwenyewe
Tusisahau kuwa rais huyuhuyu kampa wadhifa...
Hilo neno kiherehere mimi nilikuwa silitumii sana lakini Huyo Tenant wetu hapo Ikulu alianza kulitumiwa kuwaita viongozi wastaafu ambao walikuwa wanampa ushauri
Sasa iweje yeye awaite wazee viherehere halafu ofisi yake ikiambiwa ina kiherehere watu wanapanic
narudia tena, Ikulu iache kiherehere
Lete break down ya USD 190 ambazo Ikulu ilidai tunawadai ACACIA mining
Usisahau kuwa Ikulu hii hii ndio iliridhia Fraud (makonda) apewe Ukuu wa mkoa
Hawana moral authority kutuambia kitu hawa watu wa Lithuli
Hayo mambo mengine nitarudi baadae kukujibu
Hivi kila anayeuliza swali namba maamuzi na mambo yanavyofanywa ana deal?
Hivi unajua tulikosa kiasi gani kwenye deal ya ACACIA kununuliwa?
Najua jibu huna lakini tusinge kosa USD 880 kama Capital Gains Tax
Hapo kabla wajuaji kuingilia
Mwishowe tukasema tunadai USD 190 BILLION (bila kupewa...
White house haina mamlaka na haiwezi kuzuia Kampuni za USA kununuliwa na China
USA wana kitu kinaitwa Committee on Foreign Investment ndicho chombo chenye mamlaka hayo
Hata suala la AT&T kununua CNN/Time Warner suala hilo lilikuwa chini ya regulator ambaye ni US Department of Justice na siyo...
Maana kila kitu unambiwa maelezeko toka Juu
Ukiuliza juu wapi unaambiwa Ikulu
Ukiuliza ninnani Ikulu wanasema ni Sultani mwenyewe
Sasa kama ndio hivyo mimi nashauri apewe wizara zifuatazo:
Mambo ya Ndani, Biashara, Nishati, Sheria, Miundombinu, Madini na Mambo ya Nje
Kisha hao hao watu wa...
Kama kuna jambo ilitakiwa REGULATOR ndio aseme na sio Ikulu na kama kuna wizi au ubadhirifu umefanywa ni kazi ya regulator kuwaachia vyombo vya sheria kufanya kazi zao na sio Ikulu
Ndio Ikulu ina kiherehere
Jiulize kwa nini mazungumzo ya ACACIA yalikuwa yanasimamiwa na yanafanyika Ikulu?
Kwa nini wanapenda ku micromanage kila kitu?
Regulators wako, mawaziri wako, wakuu wa idara wako sasa why kila kitu kiwe ikulu?
Mwishowe tunaambiwa kuwa tunadai 190 billion usd bila...
Isseu hapa ni kwa nini Ikulu wao wanaingilia kila kitu?
Nchi ina vyombo husika ambavyo vina wataalam wa kuangalia haya mambo
Sasa kama ndio hivyo bas wizara za Sheria, Madini, Fedha, Biashara na bila kusahau TPDC na EWURA zote ziwe chini ya Ikulu.
Haiwezekani wao kila kitu wafanye wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.