Nimesoma kwenye gazeti la leo kuwa TPDC wamepewa maelezo na Wizara ambao nao wamepewa maelezo na Ikulu wazuie ununuzi wa hiyo kampuni
Sasa cha kujiuliza kwa nini Ikulu iingilie mambo ya ununuzi au uuzwaji wa Kampuni? Hili jukumu ninavyofahamu ni la wizara ya Biashara, CMSA, TRA, Wizara ya Fedha, Wizara ya Madini,TPDC na Wizara ya sheria.
Sasa Ikulu kwa nini ina kiherehere cha kuingilia mambo? kwa nini wasiwaache wahusika wakafuatiia na kujua ukweli ni upi?
Hivi ikiwa Ikulu (ya zama hizi za Magu) inaingialia kila jambo kutafanyika kazi kweli?
Swala kwa maelezo yao walifuata taratibu zote za kisheria, na waliruhusiwa (na vyombo vyote husika hapo juu) kuendelea na ununuzi. Kishaa kwa sababu zisizoeleweka jamaa wa Mtaa wa Lithuli wanakuja na maelezo kuwa kila kitu lazima kisimamishwe bila maelezo yotote yale as if wao ni regulators wa hii industry.
Hii nchi ina safari ndefu sana.