Posta na simu,
Simu ilishindikana wakaleta kampuni za simu, imagine hadi leo tungetegemea TTCL.... jibu unalo
Usafirishaji wa barua, sasa tunamaliza kwa barua pepe au mabasi, ukitumia posta itachukua mwezi kuipata na hawakupigii simu kukuambia kama kuna barua yako,,,, ila kwa mabasi unapigiwa...
Wekeni silaha chini muongee myamalize, mtawamaliza vijana maana hawataacha kuongea.., nyumba yenu wote na wote mnahaki sawa... mpira mnaangalia wote, dukani bei moja, hospitali moja, usafiri mmoja, ingekuwa upande mmoja umepunguziwa bei tungeelewa,***** kila siku ugomvi...
Ile staili ya "ile hela tuma kwa namba hii' wanakuwa na laini nyingi sana halafu hawajulikani, sasa kwa fingerprint watajulikana hasa pale watakapoenda ku up-date line zao...
Habari hii wanaochangia ni sisi wengine.... Inamaana hamna hata mmoja kutoka hapo Bugando aeleze au achangie?.. si kwamba hatuamini ila ni vema kusikia pia kwa wanaotetewa... Wanavyuo mmetetewa halafu wenzenu wamekuwa lab-rats mnakaa kimya?
Watu wasiofahamika wameongea na Masheikh-
Embu tuwaombe wakuu wetu hawa wa dini waliokutana ana kwa ana na 'wasiojulikana' pamoja kuwasifu kuwa watu wema, watuambie wale ambao hawarudi huwa wamekosea nini katika jamii hadi wasirudi? Roma alirudi nae hakueleza cha kueleweka...
NIDA hawaku-update data za baadhi ya waliojiandikisha,. Na baadhi ya vitambulisho havijatoka hadi muda huu... kosa la nani?. Uzuie mshahara wa mtu kwa sababu zisizo zake!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.