Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara.
=====
WASIFU
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali...
Mwalimu amefariki miaka 21 iliyopita. Kaacha madaraka tangu 1985 mmeshindwa nini muda wote huo kuziba makorongo aliyoacha? Mtaendelea kulaumu hadi lini? Rwanda mwaka 1994 walichinjana, lakini leo mbona wako mbali? Tuache lawama. tushiriki kujenga nchi yetu.
Jamani leo ndiyo nimeingia JF baada ya kupotea kitambo. Naona mtifuano wa hali ya juu. Mimi ni verified user. Sina user name nyingine. Kwa hiyo post yangu utasomeka kwa jina langu. Asanteni sana
Mwamba naona umeamua kuvaa mabomu. Hahahahaaaa
Ndugu zangu, kitambo sasa sijashiriki mijadala mingi kwenye uwanja wetu mwanana wa JF. Nilikuwa masomoni. Kwa mapenzi yake Mola nimehitimu vema Shahada ya Uzamili katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) nikiwa nimechukua kozi ya Mass Communication.
Nimeona niandike haya ili kuwatia...
Jamani leo ndiyo nimeingia JF baada ya kupotea kitambo. Naona mtifuano wa hali ya juu. Mimi ni verified user. Sina user name nyingine. Kwa hiyo post yangu utasomeka kwa jina langu. Asanteni sana
Ndugu yangu, haya majungu tu unapiga humu. Dotto unaweza kumsema kwa mengine, lakini si haya ya kwamba anashiriki kutorosha madini nje ya nchi. Tambua kwanza kazi kubwa aliyoifanya tangu akabidhiwe wizara hiyo.
Wezi na waporaji tanzanite mnawajua sana, lakini kwa sababu mnataka Dotto...
Mnapolaumu vyombo vya habari hamna budi muangalie mazingira ya kazi. Mjue kuna sheria mbalimbali ambazo si rafiki wa vyombo hivyo. Mtalaumu lakini ukweli ni kwamba mazingira ya leo ya utendaji kazi si ya zama zile.
Uongo ni kipaji. Alichaguliwa na wananchi gani? Yeye alipokuwa RC mbona alitesa watu vibaya sana? Mbona aliwanyanyasa walio chini yake kwa kigezo cha yeye kuwasiliana na Rais moja kwa moja? Mbona aliweka checkpoint ili kuwajua wanaoenda kuwasilimia alioshiriki kuwaweka rumande? kwenye uongozi...
Rais Samia amezungumza juu ya hatima ya Katiba. Rais akaomba apewe muda 'asimamishe nchi' kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala ya Katiba. Jibu la Rais Samia limewakera baadhi ya watu.
Mijadala kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni imekuwa mingi. Wanalalama kwanini hataki kuleta Katiba mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.