NATA niliposema haijalishi ameajiriwa au amejiajiri nilikua namaanisha kati ya mawili awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe lakini si mkaa nyumbani na ndio maana nikasema awe anapenda kufanya kazi. mwanaume asie fanya mi wa nini. mi mwenyewe nafanya kazi ye akae nyumbani kasema nani sio kwa...
wapendwa mm ni binadamu wa kawaida nimekamilika namaanisha nina viuongo vyote vya mwili (sio kilema) ni mwajiriwa serikalini miaka yangu 33, sijawahi olewa sio mzuri na wala sio mbaya vilevile. acheni maneno ya dhihaka watu tupo serious humu if ur not interested jus leav the thing kuna watu...
ni vifaa vya saluni ya kike wadau na Dish ni kwa ajili ya kuoshea nywele. bei yake ni maelewano na ndio maana nikaweka namba za simu, japo sio ishu vile vile. draya na stima ni hizi za kisasa za ukutani zote pamoja ni laki 6, dishi la kuoshea nywele laki na nusu, stand ya rolers 85,000, kuna...
penye ukweli uongo hujitenga, huyo ni mtu anaefahamiana nae kama kweli alihitaji suluhisho angepiga simu on the spot na kuweka loud speaker. ikiwezekana nawe chukua namba fatilia kwa mda wako bila yeye kujua.
Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.