Recent content by Manyctideladela

  1. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha Mtandao wa OTEAS

    Hii hairuhusiwi kaka, nilifuatilia hilo, na wanakataa kabisa. Waweza kujaribu kwa upande wako ila mimi nilishindwa hilo walisema itumike OTEAS tuu
  2. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha Mtandao wa OTEAS

    Kwa walio vijijini kwa kweli ni pasua kichwa, au hata mikoa ambayo miundombinu ya internet ni hafifu kwa kweli itakuwa ngumu. Hata hivyo mfumo ni kwamba unafunguka ukiwa kwenye internet nzuri na kwa watu ambao internet ni ya kusuasua ndo ngumu kufungua OTEAS. Na wahusika naamin wamesikia hilo...
  3. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Msaada kufungua OTEAS

    Ushauri wangu hakikisha unatimiza yafuatayo 1. Kuwa kwenye internet nzuri. 2. Nashauri tumia UC Browser(Ndio niliyofanikiwa kufanya upload) iwe ni kompyuta au simu, ingawa unaweza pia kutumia Firefox au Google chrome. 3. Kama utatuma muda wa usiku sana inaweza kuchukua muda mfupi zaid, hata...
  4. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa walimu

    Tarehe 15 Ndugu inaonekana hapo kwenye dashboard
  5. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Aliyewah kuapply kupitia oteas(online teachers application system)

    Omba tena, kwa sasa ina afadhali kias
  6. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio kwa wanaoomba OTEAS

    Ushauri wangu hakikisha unatimiza yafuatayo 1. Kuwa kwenye internet nzuri. 2. Nashauri tumia UC Browser(Ndio niliyofanikiwa kufanya upload) iwe ni kompyuta au simu, ingawa unaweza pia kutumia Firefox au Google chrome. 3. Kama utatuma muda wa usiku sana inaweza kuchukua muda mfupi zaid, hata...
  7. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio kwa wanaoomba OTEAS

    Kila moja isizid 1 Mb
  8. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania kuhusu oteas

    Click View Application Report "Tab" hapo utaona summary ya maombi yako, hiyo ni kiashiria kuwa imekwenda. pia kama utaweza kuview document zako kutokea kwenye browser(Click Attachment Panel) pia ni ishara kuwa umefanikiwa kuapload. @ Manyuc
  9. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Oteas

    Ushauri wangu hakikisha unatimiza yafuatayo 1. Kuwa kwenye internet nzuri. 2. Nashauri tumia UC Browser(Ndio niliyofanikiwa kufanya upload) iwe ni kompyuta au simu, ingawa unaweza pia kutumia Firefox au Google chrome. 3. Kama utatuma muda wa usiku sana inaweza kuchukua muda mfupi zaid, hata...
  10. Manyctideladela

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

Back
Top Bottom