Recent content by manyavu

  1. M

    JamiiForums Tanzania LIVE:Kutoka Mlimani City - Tamasha la Kuwakaribisha Wanavyuo Vikuu Mwaka wa Kwanza

    Shukurani pia kwako mkuu Paul Makonda
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM yaipa CHADEMA ushindi wa moja kwa moja Kata ya Saranga Kimara kabla ya uchaguzi!

    CCM itashinda tena kwa kishindo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fiesta yafikia tamati leo Mjini Mtwara, Dar es Salaam kulikoni?

    Dar hatuwahitaji tunahitaji maendeleo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga marufuku kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni

    Hiiiiiii Nzuri ila kachelewa sana tena Sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANGA: UVCCM wamtabiria ushindi wa kishindo Magufuli 2020

    Atashinda kwa kishindo
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA achaneni na watu waliokula wakasaza CCM jikiteni katika kuibua na kujenga vijana vyuoni na ndani ya chama

    Chadema ya kweli itatokana na ccm iliyoimala,kama watawachukuwa watu imara kama Dr. John pombe cha magufuri,polepole,na kinana ila sio watu waliotuaminisha kuwa ni mafisadi wote tuseme ni chadema
  7. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti CHADEMA

    Ccm haiwezekani ikawa na mtu mbumbu kama mbowe,mtu asijua kufanya uchambuzi wa kujua kuwa huyu ni garasha na huyo ni karata,nyarandu waliyesema anaiba twiga na kuwapandisha ndege na kuuuza faru leo wanamuita mtu msafi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli washa mitambo IPTL MW 180 ziende gridini, tabu ziishe

    Acha ujinga IPTL haitakiwi hata kwa dawa,ujinga kama huuu usituletee
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ni mbunifu na mchapa kazi, pamoja na mapungufu ya kitaaluma anayodaiwa kuwa nayo

    Makonda huwa namfananisha na Shujaaa wa karne,hakika anakituma sana, mubunifu na anajua anochokifanya kwa wakati na kinachogusa wanainchi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

    Hata kama yupo chadema afikishwe tu mahakamani,kama walifikiswa watu Wengine iweje yeye.sisi tunajua chadema ni genge la kukimbilia mafisadi wote wa inchi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya sekeseke, Adam Malima kapewa ukuu wa mkoa. Nape ana mengi ya kujifunza, bado hajakomaa kisiasa

    Tatizo la nape hajui kuwa hizo zama zilipendwa,ila na kufanyakazi za siasa kwa media zilipendwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tuliambiwa hostel za UDSM zimejengwa kwa bil 10 ila ripoti ya CAG inasema zimejengwa kwa bil 54. Uwongo! Uwongo!

    Zitto hakuna anayemwamini tena siasa za polojo zimepitwa na wakati sasa umebaki kuogelea,Zama za Zitto kutudanganya zimeshapita wewe Zitto stafu siasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi 2020 kuna Watanzania watakaomchagua Magufuli na CCM yake?

    Sio kumpa hata kampeni tutapiga nyumba kwa nyumba mguu kwa mguu na ushindiii utapatikana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto acha kuilaumu Serikali kwa hesabu za kufikirika

    Enzi za JK Zitto na wenzake waliokuwepo kwenye kamati iliyundwa kudhughurikia mikataba ya madini,wakaja na solution kuwa jamaa wa madini wamekubari kulipa she. 4 kwa kila 1000
Back
Top Bottom