Recent content by manyatachacha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Operation za CHADEMA wizi mtupu! Zote nguvu ya soda!

    meli ya katibu wetu wa chama imekamatwa vietinam ikiwa imejazwa meno ya temo mzigo ulikuwa ni waktibu wetu wa chama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

    mtaji wa ccm ni wanavijiji walionyimwa elimu yaani mafukara waliokata tamaa na maisha wasio kuwa na uhakika wa male kwa siku yaani wale mandina hao ndio mtaji wa ccm wakiingia na vipesa chai na andazi kwa vijana na chumvi kwa akina mama mbege akina baba lazima tuimbe ccm kwa njaa zote hizo kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinana nenda Ikulu bana!

    kinana waajabu sana alikuja hapa nyamongo tukamweleza habari ya mkuu wa wilaya alivyo timua mwenyekiti wa kijiji cha nyakunguru kwa tiketi ya ccm akaweka wachadema kinana wakiwa nape wakaonyesha kushangaa na na kumtaka dc ajieleze na kukiri wakatupa moyo kwamba watahakikisha dc huyo anahamishwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA lipo njiani

    ccm isife ndio ina milikiwa na vikongwe vizee vya long ije ife chadema chama ya vijana machipukizi we umevurugwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Njelu Kasaka live ITV

    we ACHEBE kuwa makini na ccm yako mawazo yako hayahitajiki ndani chadema chopa ilipotua kalenga kuna wachaga?chopa iko angani itatua sio mda mrefu ok
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ya Mama Salma Kikwete ni vitisho tosha

    ukitaka kutawala watanzania wafanye wawe mafukara sana alafu mambumbumbu kama walivyo chalinze na kwingineko utawatawala mpaka yesu arudi ccm oyeeeeeeeee
  7. M

    JamiiForums Tanzania Abel Magembe-mgombea ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini-CHADEMA

    kweli aende yeye asie fuga nywele
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga na weweseko la helikopta tatu, madiwani watatu.

    kumbe kuna tetesi eti malehemu mgimwa aliuwawa ili watu wachukue nafasi yake alafu wanajidai kuhonga mtoto wake ubunge?kalenga tumeshituka
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameishakata tamaa Kalenga kabla hata ya half time.

    huyu lukosi sio hayo tu ya mwangosi ni tabia yake kutembea na daftari akiwa ameorodhesha majina na picha juu amepini akidai kafiwa na ndugu yake na kupewa michango ametukera sana hapa kwetu
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ubunge jimbo la Chalinze

    haingii akilini eti waislam tuliomo chadema hatuna akili mbona hata ccm wapo wakirsto?vipi nyie wakwere?ccm na cuf acheni ubaguzi kutugawa kidini hiyo vita ya udini ni mbaya
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ubunge jimbo la Chalinze

    mwz tuko nyuma tunawaombea kwa mungu
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM almanusura wachome Nyumba ya masista Kalenga

    hao maccm hayana jipya hadi kuchoma nyumba za watawa mmelaniwa kweupe kila mkirsto mnafikiri ni cdm
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaendelea Kuteketea Kalenga,Mwenyekiti Mwingine ahamia CCM ni Baada ya Yule wa Kata ya Nzihi

    ukitaka kutawala wtz vizuri uwafanye wawe mafukara kwanza ndo kwenye bei wataingia kingi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kikao cha MM na viongozi wa ACT Kigoma ujiji

    act kinatafuta wanachama miskitini wala hakiendi mbali kitaishia kama adc
  15. M

    JamiiForums Tanzania Chifu wa Wahehe akiponda CHADEMA na kukiita ni chama cha kilaghai.

    hatukatai ccm ni kimbilio la wezi wala inchi mafisadi wang'oa kucha za watu pembe za tembo majangili haooooooooo hamna jipya kufukarisha watanzania tumechoka na itikadi zenu ilani zenu sera zenu bora upinzani nao tuwaone
Back
Top Bottom