"Lissu alitoa tahadhari kwa serikali kuacha kuvunja mikataba bila kufuata utaratibu wa kisheria, serikali hii iliyotuingiza kwenye matope haya ikatoka na kusema Lissu amehongwa na wazungu kuwatetea.
"Leo mmeshindwa kesi mnatakiwa kulipa mabillion ya pesa za walipa kodi masikini kwa kuvunja...
METHALI NA MISEMO YA KIPARE.
(VISOMA VYA CHASU)
1. Kiruke cha ibwe kimanywa ni igondwa.
2. Kitambi cha muimi ni kiumbi.
3. Ekwira ima si iti anakulie.
4. Ngoma mbiri nyika ni kintu na mlamue.
5. Mvwi wedi teukaa he iziaka.
6. Ntambo ya nyani ni kugwa na kuvuka.
7. Ikunguru kusazanya mringa,ni...
HOJA BINAFSI:
TUTUMBUE JIPU?
SERA YA ELIMU KATIKA SERIKALI YA MAGUFULI, ELIMU BURE.
naunga mkono sera hii ya elimu bure, naunga mkono utendaji kazi wa rais wangu kwa aslimia kadhaa wa kadhaa.
HOJA YA MSINGI:
Hawa viongozi walioanzisha michango (ya lazima) ndani ya elimu bure, wanamaana gani...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maofisa wa Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania (TRA) wakusanye kodi za majengo kwa kuzingatia sheria na wasitoze kodi ya majengo wazee wenye umri zaidi ya miaka 60.
“TRA ijipange kukusanya kodi za majengo kuanzia Julai mosi 2017. Katika kutekeleza jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.