Kujipanga ndo kila k2, kwan m2 acpojipanga mapema HaTa ka' akipata hilo BOOM atajikuta linampeleka pabaya. But all in all we must be patient Hopely coming week every thing will be out kwan Wana-wa-SAUT wana-registration on de same day. ***Good ThiNgs always came later, We must be PatIent 2 dis***
Hawa jamaa wa St. Joseph joining instruction zao zinapatikana chuoni, xo kama unahitaji joining instruxn nenda chuoni kwao AU ka' upo mikoani tafuta m2 unayemfahamu aende akakuchukulie pale chuoni. MAELEZO MENGINE MUHIMU. Kutakuwa na registration kuanzia tarehe 18/09/2012 na Academic year...
Pleaseeeee!!!!!! Wakuu...........
Kwanza Heshima mbele.
Please, I'm after help to you JF member on how to make internet connecxn with more than one computer but ma-self I have only one Internet moderm.
Hii ni kwa maendeleo Pleaseeee.............. I'm seriousssssssssss.
Naomba kuwasilisha...
WAKUU!!!!!!!!:spy:
Kwanza Heshima mbele yenu.
Naomba msaada jinsi ya kuunganisha (ku-connect) kompyuta zaidi ya moja kwenye Mtandao wakati huo nina Internet Moderm (Airtel moderm) moja.
Msaaaaaada pleaaaaaaase kwa anayefahama.
Saruti nyingi sana WAKUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!
***Good thingx always...
Mkuu!!! Ulisoma nin Advance na hata Hesabu ya primary inakushinda? Mbona wenzako 2najua kwamba deadline ya HESLB ni tarehe 29/08/2012, na kama wewe pia ni 2nd round ya TCU uciwe na wac MKOPO UTAPATA 2 Mkuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ***Good things always came later, so be patient 2...
Chuo ni chuo kwan hata OUT wanatoa Bachelor, so yeye aende 2 aksome. But he/she should keep on mind kwamba anatakiwa akipende na kujiamini ndio atafanya vizuri ktk matokeo yake.
Soma vizuri hyo new ya HESLB cio unakuwa unatisha wa2 kwamba watapata au la. HESLB wametoa wiki 2 kuanzia tarehe 15/08/2012 it means the deadline will on 29/08/2012 as the deadline of Application 2nd round ya TCU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.