nipateje join instruction za st.joseph univasity of tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nipateje join instruction za st.joseph univasity of tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kinota, Sep 2, 2012.

 1. k

  kinota Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  naombe msaada wajoin maana kwenye web yao mm sion
   
 2. N

  Nzaro Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wametoa maelekezo tar za kufanya registration kwa Dar kuna tar 19.20 na 21 sept na songea tar 19 sept na makambako tar 20 sept. source daily newz ya tar 21 august
   
 3. M

  MANYANGALI ZE GREAT Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wa St. Joseph joining instruction zao zinapatikana chuoni, xo kama unahitaji joining instruxn nenda chuoni kwao AU ka' upo mikoani tafuta m2 unayemfahamu aende akakuchukulie pale chuoni. MAELEZO MENGINE MUHIMU. Kutakuwa na registration kuanzia tarehe 18/09/2012 na Academic year inaanza tarehe 26/09/2012.
   
 4. k

  kinota Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  thanks wakuu
   
 5. M

  Martin Firmin Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  kama unataka maelezo kwa kina wasiliana na mm # 0754817242 Coz mm nimeshafika pale nikafahamu kila kitu piga nikufahamishe kwa kina kuhusu joining instruction
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  nilimchukulia m2 m1 pale walimtxt aifate b4 the end of d week, nikam2mia kwa mail. N2mie mail yako ntaku4wardia
   
 7. k

  kinota Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nilimchukulia m2 m1 pale walimtxt aifate b4 the end of d week, nikam2mia kwa mail. N2mie mail yako ntaku4ward
  mkuu email yangu ni (thadeowimo@yahoo.com)
   
 8. k

  kinota Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mkuu mbona kimyaa upatapo nafasi naomba sunitumie join hiyo kupitia (thadeowimbo@yahoo.com)

  natanguliza shukrani
   
Loading...