Recent content by manyalla2028

  1. M

    David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA. Apoteza imani na upinzani katika kupambana na ufisadi

    Hata yesu aliwaambia wanafunzi wake watamkana mara 3, sioni ajabu hata hao wanaotoka chadema kwenda ccm, ipo siku watalia wenyewe tu wanaomba kurudi walikotoka
  2. M

    Mpende msipende, Jerry Murro anafaa kuwa msemaji wa CCM kumrithi Humphrey Polepole

    Kama alishindwa kuwa msemaji wa yanga ndo ataweza kuwa msemaji ya ccm, hakuna kitu yeye aendelee kuwa msemaji wa mtandaoni tu
  3. M

    Hii Kampeni ya RC Dar ya Kuchangia Ofisi za Walimu na Miundombinu Mingine ni Jambo la Kupongezwa!

    Tatizo la huyu mheshimiwa anataka sana aonekane kwenye runinga kila wakati, ndiyo maana anajaribu kubuni mambo kila cku ili tv na media zingine zimfuate kila cku, pia ukiangalia hakuna hata moja alilolionyesha kuwa limefanikiwa, anapenda sana pia aonekane anafanya kazi sana kuliko marais...
  4. M

    Zitto Kabwe: Nikiteuliwa na Rais Magufuli kushika nafasi yoyote, Nitakataa

    Zito zito zito jamaniii, naomba hayo maneno uyakumbuke cku zijazo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

    Jerry muro ni yule yule hatobadilika kamwe , mawazo yake yana lengo maalumu pia kwake, hakuna atakaefanya kazi bila kuwa na malengo. Ongeza bidii kaka muro one day yes bro. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kumbe IMMMA Advocates wanawatetea Acacia Katika kesi huko London UK dhidi ya Serikali ya Tanzania!!

    Hakuna cha uzalendo kwenye pesa, pesa kwanza mambo mengine baadae Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Hamna lolote mapovu yanawatoka tu, mnaambiwa ukirusha jiwe gizani ukasikia kelele tu ujue limempata. Lumumba limewapata hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Sasa unakiukwaje halafu ulipwe? ?hizo ni akili gan? ? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Barick wameufyata; Hakuna press ya gawio la hisa, report ya fedha, soko la mitaji au maongezi na Tanzania

    Aiseee, vijana wa lumumba bhana, lumumba siku hizi ni London? ?? Mnachekesha sanaaaaaa, haya hao watu wenu mliowatuma kuongea na Barrick waambieni watuletee mrejesho tusikie wanalipa kiasi gan hao Barrick kwa watanganyika Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Jerry Muro: TEF ni kikundi cha watu wanne

    Huyo nae ana manufaa kwa upande anaoutetea hana lolote, mhenga huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Sasa ni wazi Fatma Karume kuangukia pua kwenye kesi ya madai ya bilioni moja

    Asanteee, mheshimiwa wakili Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom