Recent content by Manugwa

  1. Manugwa

    Dr. Bana, Kwa upinzani wako kwa CHADEMA, sasa tumejiandaa kuipinga ripoti ijayo ya REDET yako!

    Uwe na fikira yakinifu KATIBU Mkuu Holace Kolimba alipokengeuka akajitoa, alipoitwa, kuhojiwa mpaka kifo chake CCM ilikufa? Achaneni na fikira mgando za baadhi MaDr wa Udsm Kama Dr Bana. Kimtazamo MAWAZO yake kisiasa amezingwa na U-CCM na Wala si Ueledi. Ametoa AUTHORITY/Research ya utabiri wa...
  2. Manugwa

    Ni jini au nini?

    Utafiti bado tu lete majibu ya tangawizi
  3. Manugwa

    Serikali ibadili taasisi zifutazo kuwa vyuo vikuu

    Kati ya vyuo hivyo nilishakutana na Cheti kutoka moja ya kozi za IT kikiwa hakina SERIAL NUMBER. Cheti hicho ni HALISI kabisa kutoka chuoni. Hii ni sahihi?
  4. Manugwa

    SUA KwELI MAJANGA

    Ulikua ume panga kufanya nn Mdogo wangu cku hizo mpaka utushirikishe
  5. Manugwa

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Tatizo Wabongo tunadharau vyetu kwani kiasi kikubwa Madawa KARIBU yote ni matokeo ya utafiti wa Haya Haya tunayoyadharau. Tatizo kubwa ni Biashara na Ajira inayolipa wakati ni usiri MTUPU. AHSANTENI mliotoa matibabu bure!!!!
  6. Manugwa

    Effects of Forex Transactions in Tanzania, Govt to act?

    Utumiaji wa Dollar unaendekezwa na hai HAO Viongozi kwani Mahotelini wanalipia kwa Fedha gani? Waache kujishaua kwa walalahoi wasiojua hata ubadilishwaji wa hizo pesa
Back
Top Bottom