Ni vyema kwanza TBC ieleze umma kwa nini ubora wa matangazo yao siku hiyo ulikuwa ni hafifu sana na kukatika mara kwa mara. Lakini mikutano ya watu wengine ubora unakuwa mzuri. Ni kwa nini kama siyo hujuma?
Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza pampu kunahitaji mnyororo wa kiwanda cha chuma. Liganga ya chuma imepigwa danadana. Matokeo yake tunaweza kuwa waunganishaji wa vipuri vya pampu lakini siyo watengeneza pampu bila kuchimba wenyewe chuma. Mfano mwingine, TZ tungetumia chuma ya Liganga kujenga...
Mpaka wa TZ na UG bado umefungwa kwa shuguli zote za kijamii. Isipokuwa kwa usafirishaji kutumia gari ya mizigo. Gari toka Tzz itaingia Ug ikiwa na Dreva aliyepimwa bila tingo. Kuingia Tz kutoka Ug hamna shida kubwa. Abiria mwenye shida sana kuingia Ug anatumia njia ya panya kuvuka mpaka a kisha...
Nimeuliza uhalisia kupima virus kutoka nyama pori ya uchina, mahali korona ilipoanzia na sisi tunaopima mbuzi. Kwangu mimi naona kama China wamepata kirusi toka nyama pori ni sahihi hata sisi kupata kirusi kwenye mbuzi. Naomba ufafanuzi wa biotechnology?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni swala la ufahamu, kwamba chanzo cha korona huko China ni nyama pori. Hapa kwetu unapopima mbuzi ukakuta anayo korona, si ni sawa na China waliopima nyama pori? Naomba jibu toka mtoa mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.