Recent content by manuel24

  1. manuel24

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi Kibaigwa/Kiteto

    Yanapatikana kwa bei gani mashamba handeni mkuu
  2. manuel24

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Bei ndugu yangu nikija kwenye mawasiliano ni kumaliza biashara
  3. manuel24

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao kuezeka nyumba hii

    Dm tumeluka
  4. manuel24

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    FIXED ni wewe kuamua kuendelea kuiacha huko kwa muda utaohitaji
  5. manuel24

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Wameondoa kitu kizuri sana sijui kwanini??
  6. manuel24

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

    Hii imekaa kiwekezaji haswaaa
  7. manuel24

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

    Weka UTT hutokosa 7mil kila mwezi na hela yako ikiwepo still
  8. manuel24

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Nikihitaji kufanya hivi nafanyaje mkuu?? Mfuko mmoja gawio la mwezi kuingia kwenye mfuko mwingine??
  9. manuel24

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    mkuu naomba unipm au nicheck whatsapp 0769621149 natanguliza shukran
  10. manuel24

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    uzi makini
  11. manuel24

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Je Upo Mjini Geita Na maeneo Jirani Na Ulikua Unatafuta wapi utapata vifaa bora na imara vya umeme Lakini Hela Yako Imepelea basi soma hapa chini Njoo Geita Magogo center au wasiliana nasi 0769621149 0717843000 Kuhusu gharama utanipatia hela kidogo ya maji tuendelee kuishi
  12. manuel24

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Karibu tufungie mfumo wa umeme {wiring installation} kwa vifaa vyenye uimara madhubuti kwenye nyumba yako kwa gharama nafuu sana fika ofisini kwetu Geita magogo centre au wasiliana nasi kwa 0717843000 0769621149 068 242 5229
  13. manuel24

  14. manuel24

    JamiiForums Tanzania Kilimo na JATU: Je, kuna ukweli wowote?

    achana na story zao nyingi hawalipi kwa wakati ni mwaka sasa jamaa yangu hawajamlipa almost 10millions
Back
Top Bottom