Recent content by Manu.

  1. M

    CHADEMA Asilia v/s CHADEMA Pesa

    Acha upuuzi we Team Lowassa wa kijani!
  2. M

    Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    MAJIMBO YALIYOKUWA YA WAZI KWA CHADEMA KABLA YA Agosti 2015 -Mbulu mjini -Mbulu vijijini -Hanang -Babati vijijini Leo YAMEWAPONYOKA CHADEMA! Ikumbukwe majimbo haya yalimchagua Dr Slaa mwaka 2010. Iliwawia vigumu wagombea wa Chadema kumnadi Lowassa katika eneo hili. Chadema ilijifariji na ujio wa...
  3. M

    Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    MAJIMBO YALIYOKUWA YA WAZI KWA CHADEMA KABLA YA Agosti 2015 -Mbulu mjini -Mbulu vijijini -Hanang -Babati vijijini Leo YAMEWAPONYOKA CHADEMA! Ikumbukwe majimbo haya yalimchagua Dr Slaa mwaka 2010. Iliwawia vigumu wagombea wa Chadema kumnadi Lowassa katika eneo hili. Chadema ilijifariji na ujio...
  4. M

    Manyara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Matokeo Babati Mjini: 1. Kisyeri Chambiri: 16434 2. Pauline Gekul: 21036
  5. M

    Manyara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Babati vijijini. CCM kata 13 Chadema kata 12 by Benny Mwaipaja TBC
  6. M

    Tathmini Binafsi: Magufuli Ataongoza Kwa Kura Manyara.

    Nimefanya tathmini ya hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu katika mkoa wa Manyara. Nimewazingatia wagombea wawili Edward Lowassa wa Chadema na John Magufuli wa CCM. Katika tathmini yangu nimechunguza kwa kina nguvu na udhaifu wa kila mgombea! NGUVU YA LOWASSA! - Lowasa anaungwa mkono na vijana...
  7. M

    Utabiri wa Kitafiti, Majimbo yote 7, Mkoa wa Manyara.

    Nimeinasa Sehemu......... Natabiri Majimbo haya mkoani Manyara yatakwenda Chadema. 1. Babati Vijijini 60% (Margin of error 5%). Mgombea wa CCM Jitu Soni hata ndani ya chama chake anapigwa vita. 2. Mbulu Vijijini 56% (Margin of error 2%). Hapa Chadema ni moja. Hata mshindi wa kura za maoni...
  8. M

    Slaa amerejea nchini

    Wakatoliki tunampenda mno!
  9. M

    mkutano wa edward lowasa wadoda karatu.

    Iraqw nawaaminia sana, hawana longolongo
  10. M

    CHADEMA Asilia wafanya kweli Manyara

    Lowassa Fisadi
Back
Top Bottom