Recent content by MANTOGOYOKA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

    Mkuu ni wewe?... kumbe kuna wakati unakuwa mzima na mwenye uelewa mzuri kabisa... hongera sana kwa kuuona ukweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania WANA JF TUTAKIANE KHERI YA MWAKA MPYA.....

    Nawatakieni Watanzania wenzangu na wana JF wote heri ya mwaka mpya wa 2016... Mwenyezi Mungu...muumba mbingu na nchi...yeye awezaye yote, Atujalie Neema, hekima na baraka tele katika mwaka wa 2016... Atufanyie wepesi katika Yale yaliyo magumu. na atuwezeshe tuenende katika njia ile...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Basi bhana na mimi nmekuwa mjumbe hapa

    Asante sana kwa ukaribisho ndugu yangu spider..!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Basi bhana na mimi nmekuwa mjumbe hapa

    Nashukuru sana mkuu....pamoja sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Basi bhana na mimi nmekuwa mjumbe hapa

    Wakuu nawaombeni mnikaribishe twende kazi...Mimi huwa nalima potepote..mbele na nyuma sina utani kabisa hasa nnapokuwa kazini...
Back
Top Bottom