Recent content by Mantissa

  1. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Hata waliopo uhamiaji sidhani kama wana vyeti vya bibi zao.
  2. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Udikteta sio hofu tena ni ukweli

    Gazeti moja liliwahi kuandika watanzania tunatumia asilimia moja tu ya akili zetu katika kufikiria. Tuondokane na hii hali jamani
  3. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Alipokosea Rais Magufuli na anavyoendelea kukosea

    Kumbe demokrasia ni wazungu? Maendeleo utayapata mwaka 3000 kwa akili hizi
  4. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Kusudio la kuwasilsha Hoja Binafsi Bungeni: Lema amtolea uvivu Hussein Bashe, Zitto amuunga mkono

    Ngoja yawe mabaya ili watu wajifunze
  5. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Chama cha wanasheria Wasabato ni hatua moja kuelekea utengano katika jamii kwa minajili ya dini

    Wewe hujui chochote. Ni mjinga tu kama wajinga wengine wa namna yako. Usipende kukashifu dini za wengine. Kama hujui jambo bora kukaa kimya. Yo not civilized.
  6. Mantissa

    JamiiForums Tanzania DAR: Diwani kata ya Kimara(CHADEMA), Paschal Manota ajiuzulu Udiwani na kuvua uanachama; akabidhiwa kadi ya CCM

    Sasa jamani kuilaumu CCM ni kukosea. Wewe kama una akili timamu utahongwa vipi? Kuna jarida moja liliandika watanzania tunatumia asilimia moja ya akili zetu. Sasa unategemea nini hapo kama kureason hatuwezi?
  7. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Wazungu wa Namibia wageuza neno 'shithole country' kuwa fursa!

    Wajerumani wale. Hadi vyuoni wamekasimu madaraka hasa Namibia University of science and technology.
  8. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA itasusia tena uchaguzi wa Siha na Kinondoni nini kitatokea?

    Sio kweli mkuu! Labda akili za kujua kusoma na kuandika tu na sio akili ya kutafakari. Utafiti unaonesha watanzania wanatumia asilimia moja tu ya akili zao. Na hawa ni wale wasomi kiasi, sasa walioko huko, ni shidaaaa
  9. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Chaguzi ndogo si matumizi mabaya ya fedha za umma, bali ndio gharama ya demokrasia ya kweli

    Binafsi nadhani chama kiwe kinateuwa mbunge mwingne pale mtu anapojiuzuru badala ya kurudia uchaguzi. Kuna wakati wapiga kura wanachagua chama na sio mtu wakiamini hicho chama kitawasaidia. Mfano Ujerumani wanafanya hivyo, na mambo yao yako yako vizuri tu. Unadhani huko hakuna demokrasia? Mi...
  10. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kugombea ubunge CCM zimegeuka nafasi za viti maalumu

    Nadhani kama hoja ni maadili, wawapitishe kwanza ndo uchaguzi ufanyike.
  11. Mantissa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kinondoni: Hatuna hofu na Maulid Mtulia(CUF) kuhamia CCM, tupo imara tunasubiri kutangazwa siku ya Uchaguzi

    Huwezi kuwa mzalendo na mwanasiasa safi wakati una njaa kibao
  12. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wanasiasa mbalimbali juu ya kujiuzulu ubunge wa Kinondoni, Said Mtulya

    Hili Taifa bado masikini sana. Sio wa mali tu bali wa fikra na hata akili zetu hazifanyi kazi vizuri. Inawezekanaje wabunge kujiuzulu hovyo hovyo tena kwa sababu za kijinga halafu tume iitishe uchaguzi mwingine sababu ya mjinga mmoja? Wastage of resources. Mi nadhani itungwe sheria, mtu...
  13. Mantissa

    JamiiForums Tanzania Siku tatu baada ya Mwigamba kujivua uongozi ACT Wazalendo ili aweze kuhoji uongozi, yeye na wenzake wajiunga CCM

    Katika maisha na misimamo, mtu anatakiwa awe wa baridi au moto. Akiwa vuguvugu tu, hakuna msimamo
  14. Mantissa

    JamiiForums Tanzania ‪Rais Magufuli: Wakuu wa Mikoa wengine jifunzeni kwa Makonda. Tanzanite imeongezeka mara 30... Sijaja kuuza sura!‬

    Sio kweli kaka. Inavunja watu mioyo ya kufanya kazi. Watafanyaje kazi bila kuwepo na fair decisions? Hatuwezi kwenda popote kama taifa. Aseme majina yake aendelee na kazi zake. Kuliko kukaa na cv ambayo huna mkuu. It’s sad frankly speaking.
Back
Top Bottom