Recent content by Mantisa

  1. M

    Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

    Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaona. Ulitaka Daimond aseme kitu gani ? wakati wewe Lema unafanya Mambo ya uporaji na wizi wa magari mwanamuziki gani alipaza sauti ? Uliondoka ulisema umeibiwa kura , Sasa so urudi ufungue kesi ? Unafikiri watanzania wote ni vilaza ? 2020 mi nilikuwa wakala wako...
  2. M

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Tupe wewe terms tujue
  3. M

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    We kapambane naye kule na ukanushe kuwa majina aliyoyataja siyo nyie. Huku unatafuta sympasy tu
  4. M

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Kigogo Veronica France anakuulizia . We kamjibu bana acha kukimbilia huku
  5. M

    GE2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

    Matokeo lazima yasainiwe na wakala sasa hivi vituo hewa mawakala wa chadema watapatikanaje?
  6. M

    Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

    Wao waseme wanachotaka ni kuendelea kutubia na hilo halitakuwepo tu. wao waendelee kumfadhiri ila mwisho wa siku kurudia tena enzi zile za Mangungo wa Msovero hatuko tayari na hawatapata wanchotaka kutubia
  7. M

    GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    Ni kweli unachosema na ni ngumu kuelewa ila chadema ambao wapo tangu 1995 na wana washabiki wengi arusha 5 kilimanjaro , mbeya etc hawana hata ofisini moja tu permanent ( I mean ya kwao) kila siku wanahama hama kama ndege ndo wanaweza kweli wapa wananchi maji Tanzania yote? Kumbuka ruzuku...
  8. M

    GE2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

    Jamani mbona walimchagua mdee anayesadikika kutembea na Bulaya?
  9. M

    Kenya jaribuni kufanya hivi kama hamja-run banana

    Kama hata kutibu corona mnaomba msaada ndo mtaweza jilipia uchaguzi. Nyie bado omba omba tu na vibaraka wazungu. Naona sasa wanaanza kuwatumia kutuhujumu hamtaweza
  10. M

    CHADEMA msilazimishe kusema ofisi imechomwa moto

    Na wakamtandika mheshimiwa mwenyekiti mguu mmoja tu mpaka akavunjika. Teh teh teh Hii serikali haifai
Back
Top Bottom