Recent content by Mantawela

  1. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Hongera JWTZ

    Jwtz ndo mpango mzimaa
  2. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Mbatia afanya ziara Mkoani Kigoma bila wenzake wa UKAWA

    Hii post imeletwa na mwl shoga. Tena asiyefaa kuitwa mwal. Poor kaijage.
  3. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mabere Marando akutwa na kashfa ya UFISADI chuo kikuu Mlimani

    Kakojoe ulale…huna jipya ww!…
  4. Mantawela

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

    Tatizo lako wewe Hammy-D. aliyekuroga alishakufa, kwahio huwezi kupona hicho kifafa chako, na zaid naona povu ndo linazid kukutoka tuu. Utakoroma sana mwaka huu, yan mpaka October utakua hujitambui kabsaa...
  5. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

    Huyo hawezi kua raisi...
  6. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Pongezi kwako kamanda Mawazo hizo ndizo harakati za ukombozi wa kweli.
  7. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Tundu Lisu is very sharp, smart and tallented.
  8. Mantawela

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kushinda uchaguzi mkuu Oktoba kama chama cha APC cha Nigeria

    Ww mwal kakojoe ulale
  9. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Kuna watu humu wamevurugwa kwel, yan badala ya kujadil mambo ya msingi yenye tija kwa taifa...mtu anakurupuka analeta habari za ACT, upuuzi mtupu..
  10. Mantawela

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    Tena bora wauchanechane na kuuteketeza kwa moto, maana huo mswada wa mahakama ya kadhi hauna ubora na viwango vinavyokidhi matakwa ya kulinda amani nchini.
  11. Mantawela

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Cyo kwel bwana Luriga....Labda tujadl issue zngne lakn issue ya urais Lowasa ndo mpango mzima.
  12. Mantawela

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Safari yetu ya Matumaini haiwezi kuzuiliwa na watu wanao ropoka na kubwabwaja hovyo, ndio maana huwa tunawapuuza kwani tukiwajibu tutakua tumewapa heshima. Mh Lowasa ndio chaguo la wengi na tumaini la watanzania.
Back
Top Bottom