Recent content by Mansully

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

    Nipe namba ya mmoja wao mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Playstation 2 zinauzwa slim na kubwa

    hiyo bei ya jumla au moja moja?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane kuhusu hili

    Habari zenu humu ndani,naulizia mtu yeyote mwenye kujua upatikanaji wa zile ajira za kubeba mizigo Bandarini au airport ama pengine kazi za viwanda vidogo kama vya juice,biscuit au vya sabuni.Ningependa kujua kutoka kwenu kuhusu hili jambo langu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    kilifikia posta? Na je vipi kuhusu makato ya posta?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa

    Vipo maeneo mazuri ila kama km 3 toka road.Boda boda 1000.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa

    Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088
  7. M

    JamiiForums Tanzania Form six leaver, natafuta ajira

    Asante kwa ushauri.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Elimu na Ujasiriamali wa ki-electronics jiajiri sasa

    Mmeanzisha jambo zuri sana hope tutakuwa pamoja.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Form six leaver, natafuta ajira

    Habari humu ndani samahani wadau nilikuwa naulizia uwezekano wa kupata AJIRA ili niweze kujiendeleza kielimu am form six leaver.
Back
Top Bottom