Jamii yoyote ambayo siyo maarufu Kwa kuzalisha chakula lazma wasiwe walaji wazuri, wamefunzwa na mama zao Toka wakiwa wadogo kula kidogo kutokana na uhaba wa chakula.
Au unataka kumtumia yule jamaa wa Igunga mwenye suti nyeusi aliyemgonga ngumi chawa aliyeenda kuvruga mkutano wa CHADEMA, jamaa alibaki anaruka ruka kwanza kama yupo ulingoni 😀😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.