Recent content by manpower

  1. manpower

    College of earth science udom

    Nenda kwenye website ya udom kila kitu kimewekwa wazi pale.
  2. manpower

    Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Human resource na utawala wapi na wapi mkuu? Human Resource maana yake ni raslimali watu, ni watu wanao manage wafanya kazi yaani kuajiri na kadhalika mimi sipo kwenye kada hiyo ila hiyo ni basic kwa msomi yeyote.
  3. manpower

    Second round selection UDOM pdf.

    The University of Dodoma
  4. manpower

    Second round selection UDOM pdf.

    majina yapo kwenye website ya UDOM.
  5. manpower

    Second round selection UDOM pdf.

    See the attachment bellow.
  6. manpower

    Kozi ya geoinformatics na geomatics ndo zikoje

    It is true, let me tell something, i have experience in geo-domain of more than five years , geoinformatics covers gis+remote sensing+landsurvey with exceptional that geoinformatics has a technology at its core for handling geoinformation but geomatics covers typicaly landsurvey note before land...
  7. manpower

    Kozi ya geoinformatics na geomatics ndo zikoje

    I meant geoinformatics na landsurveying.
  8. manpower

    Kozi ya geoinformatics na geomatics ndo zikoje

    Kuwa muwazi rafiki zako au unataka kufahamu, any ways zote ni course nzuri sana hao ni wataalamu wa mifumo ya kijiografia , wapimaji wa ardhi daraja la pili na maafisa ramani, kwa taarifa zaidi ingia google.
  9. manpower

    Naombeni msaada mwenye namba za lectures wa SUA, UDOM na UDSM

    Tatizo ni kwamba huwa hamfanyi tafiti mnapenda course zenye competition , 1.7 Pcb kwa mwaka wenu ni matokeo ya kawaida itakuwa ulitaka ku compete medicine na watu wenye 1.5-1.6, ushauri dirisha la tatu lipo acha tamaa tuliza akili fanya chaguo lisilo na competition, sio kila course isiyo na...
  10. manpower

    Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

    Point of correction not pythoni it is phython.
  11. manpower

    Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

    Being a cive student programming is a must, c++, java, pythoni, inorder to enjoy gis career programming is the must, but it is not a big deal, you can handle it with determination and hard working you will become a good gis analyst and expert even you can further to gis system developer here is...
  12. manpower

    Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

    Hapana cive hawana degree ya geoinformatics hapo ni diploma tu, degree ipo coes, karibu sana.
  13. manpower

    Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

    Aim kuwa bora katika masomo yako then hautokuja kujutia , by they way ingia google and youtube learn more about gis ina application kila pahala , naifahamu hiyo kitu na nimebobea katika hiyo kitu, bila shaka unaenda cive udom ila wataalamu wake wanapatikana pia coes udom bsc geoinformatics ndio...
  14. manpower

    Nyoka avuruga date yangu na habiba

    Nazidi kugundua kwanini serikali inakataza uvutaji wa bangi.
Back
Top Bottom