Wiki sita huyo mzazi kama alichanwa ili kuongezewa njia haitoshi usidanganye watu
Ili mzazi awe tayari kwa ajili ya ngono kuna vitu vikuu ambavyo kimila na kibaiolojia lazima vizingatiwe
1.misuli ya tumbo kurudi katika hali yake, hii inachukua miezi 6 hadi 8 inategemeana na mtu
2.misuli ya...
Hivi kwa dunia hii ya teknolojia bado tu mnalipia vifurushi vya tv au antena??? Mbona ni ushambaaaaa!!!!!!
Ongea na watu vizuri dunia hii ina mengi wajanja ndio wanafaidi
Tatizo mwanamke kajifungua ndani ya miezi 3 mnaanza kupiga game!!!
Waacheni wapumzike hata miezi 9 ili sehemu zake ziimarike kama zamani
Tamaa zitawaponza mnawabaka wamama wachanga wanaonyonyesha halafu mnakuja hapa kulalamika
Wajumbe natumai mu kheri wa afya...
Neno hili limetamkwa na mtoto wa single mother ambae tunaishi nae hapa jirani.
Nimelitafakari na likaniumiza kwa sababu dogo huyu anaishi na mama na bibi yake tu.
Nilitegemea neno hili angelisema mtoto ambea anaishi angalau na baba yake mzazi au mlezi ila...
Kwa mchezo huu wa akaunti za watu kufungwa kisa ina hela nyingi naona haina afya kiuchumi
Bora watu waendelee kuficha pesa zao uswizi ili ziwafaidishe watu wa nje kwa sababu serikali hitaki kuona wananchi wake wanatajirika
Mbuzi wa maskini hazai na akizaa anazaa dume ndiyo haya ya kufatana...
Mkeo ana mimba ya miezi 4 bado tu unataka kumbambia???
Kizazi cha Karne hii ndio maana tunazaa watoto wanaopenda Sana ngono
Kwenye kipindi cha ujauzito kuna mabadiliko mengi sana yanatokea ndio maana wazee wetu walioa wanawake wengi kipindi hicho
Mpe mkeo nafasi Kama unahisi uwezi vumilia owa...
Hii jamiiforum kwa mwendo huu watu wengi tutakuwa tunapitaa hivii!!!
Kuna makada wengi wa ssm hapa na maafisa wa ssm ambao mada Kama hizi wanazikomalia kuhoji wakati hii ni platform ya habari na changamoto
naendelea kuwakumbusha kwamba jamiiforum sio kijiwe Cha wanywaji wa kahawa na kashata za...
Huu mtindo wa kujenga kaburi kwa ndani kisha kufunika kaburi kwa zege sioni kama limekaa kiafya/kiimara zaidi.
Kwa sababu zege ambayo imechanganywa na simenti life span yake haifiki miaka 60, kwa hiyo kaburi lolote ambalo limefunikwa na zege halafu ndani halijajazwa udongo/mchanga litadumu tu...
Hivi majaliwa alipewa zawadi na serikali kwa kufungua mlango wa ndege au kwa kuokoa watu kutoka kwenye ajali
Yaani mawazo yenu mgando yamejikita kwenye tendo la kufungua mlango wa ndege badala ya kujikita kwenye tendo la uokoaji
Malaika au mapepo yaliyokuwa yanafanya matendo kama hayo ukisoma kitabu Cha mwanzo, Mungu aliwafungia kwenye magereza ya Giza wakisubiria hukumu ya mwisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.