Recent content by MANKA LEE

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupewa ahadi fake tukutane hapa

    Dah pole sana
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Mbugani kumejaa
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Mwanaume kumpatia mwanamke kitu sio kosa ila inakuja pale unapokuwa na mahusiano huwezi kupata kitu mpk pesa itumike hapo ndo tunasema toa pesa upate kitu au mkono mtupu haulambwi?Lakini pale unapokuwa na mahusiano na mpz wako anakusaidia mambo tofauti tofauti na mengine hata yasiyohitaji pesa...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Zurie Mapenzi ya kweli yapo sana na unaweza kuyapata hata kwa mwanaume mwenye hela.Lakini mapenzi hayo yanatengenezwa kuanzia mwanzo lazima ujue unaingia kwenye mahusiano ya namna gani? Mwanamke lazima uwe clean tabia za kimjini mjini uziache,uongo,tamaa na kujiona wewe ni bora hakuna zaidi...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Facts words,sisi kama mabinti tunahitaji kuwa na familia baadae tena imara anza sasa hv punguza marafiki wasio na faida,acha kulinganisha masuhiano yako na ya marafiki zako tambua wanaume nibtofauti na kila aliyeanzisha mahusiano kulikuwa na makubaliano,Acha kuiga kila kitu na tamaa zisizo na...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    [emoji23][emoji23][emoji23]sawa daby niko makiniii
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Naagiza na chubuku kabisaa
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Hahahaaa hii nayo ni tabia sugu ila wanaume wanatengeneza sana mazingira ya fedha kwa wanawake ndio maana wengi wanafeliiiiii na kuona wanawake wote ni type moja
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Asantr Mung niko na 24 im happy niko kwenye gud relationship natengeneza furaha katika mahusiano yangu pesa nimeipa jukumu letu sote kutafuta pamoja na kusaidiana katika nyenjo mbalimbali na pia kutengeneza future
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Wapo wanaosoma comment pia
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Asnate k29 tunabadilishana mawazo tu ili tupunguze lawama katika mahusiano na kupata familia bora baadae
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Acha kashfa hope una dada wewe maisha yamebadilika wanaume wenyewe mnagegedwAaa
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Ukiishi maisha ya namna hiyo Utaliwa na wangapi Utafikisha idadi ya kijiji
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la mahusiano: Wanawake wengi tunafeli

    Asante
Back
Top Bottom