Recent content by manka kim

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni yupi MwanaJF bora kwa mwaka 2022

    Mshana Jr
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo arusha dc nije arusha jiji idara secondary
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    Pole sana Mshana Jr Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF mwenzetu @tutor b amefiwa na mama yake mzazi

    Pole sana mungu akawe faraja kwenu@tutor b Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

    Asanteni wakuu Leo ndo tumempumzisha baba ktk nyumba yake ya milele!shukrani kwa wote kwa ushauri na pole mlizonipa hakika mmekuwa faraja kwangu mbarikiwe sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

    Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

    Kuna muda anajigusa anafungua macho!ananyanyua mikono na miguu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

    Asante!Kwasasa kuna muda anafungua macho na kunyanyua mikono na miguu shida bado kwenye upumuaji hawezi kupumua bila mashine ! Kuhusu sukari iko vizuri hana tatizo la sukari!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

    Bado ndugu maombi yenu ni muhimu!asante
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

    Asante kwa maelezo mazuri angalau nimefarijika
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

    Asanteni bado hatujakata tamaa naamini Mungu atampa uponyaji
Back
Top Bottom