Ulisomea maswa ya mtandao maana naweza kukusaidia lakin nataka kujua ulipo fikia na malengo yako ni yapi kuhusu elimu sio kipaumbele kama unamalengo na uvumilivu tu
Habar natumai ni mzima wa afya kwenye bei ya skimmingi na ufundi usiwena wasiwasi na bei kwa kuwa kwenye bei nilazima mukubaliane na kwa maelezo zaid plz call me 069331145 na kuhusu hesabu za mifuko ya skimming naweza kukusaidia kwaufupi kwa nyumba yako utaitaji mifuko isiyo pungua idad hii 12...
Habar natumai ni mzima wa afya katika sekta ya upakajirangi zamajumbani na makadilio naweza kukusaidia maana watu wengi huwa wanaogopaga gharama wakizan hawatoweza kumudu sasa bac kwa upandende wako naweza kukusaidia kwa makadilio ya kawaida kwa kila chumba kimoja hutumia mifuko miwili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.