Recent content by Manjanko

  1. Manjanko

    Utumiaji vibaya wa silaa za Moto kwa Vijana wa Arusha jeshi la polisi Mnajua Hilo

    Kucheza na Silaha ni jambo bays sana anatakiwa hiyo silaha izuiliwe matumizi yako siyo mazuri
  2. Manjanko

    Biashara hii vipi?

    Tena sana wahi mapema huu ni mwezi Mtukufu Kila kitu bei iko juu
  3. Manjanko

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Tanmo hiyo bedford ahiruhusiwi kupita za mjini
  4. Manjanko

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Mm nataka noah ya m7 na iwe ni no B
  5. Manjanko

    Simu za Makamanda wa Polisi Mikoa yote hizi hapa

    Mweye taarifa za ajili iliyotokea huko mkoabi klmnjr ikauwa watu 12; wa family 1atujuze.
  6. Manjanko

    Simu za Makamanda wa Polisi Mikoa yote hizi hapa

    Hata siyo sahii Diwani Athuman yupo makao makuu tunaye msikia kwenye vyombo vya habari kwa Mbeya anaitwa Ahamed.Msangi hizo kuna mabadiliko makubwa nahisi hizi ni za siku nyingi .
  7. Manjanko

    Simu za Makamanda wa Polisi Mikoa yote hizi hapa

    Umesomeka lkn fanyeni masahisho.Nsimike ni Rpc Manyara na siyo Ruvuma na Akilima ndiye Rpc Ruvuma.
  8. Manjanko

    Majambazi waliokamatwa na ak 47 Ubungo stendi

    Ina onekana hii ramani iliuzwa aidha na mtu wa wa Dar or kigoma huko ndio maana wakawasubiria ubungo wala pia hata kwenye gari kutokan na movement zako unaweza ukasababisha ukatiliwa mashaka na taarifa zitakatolewa na zikawa na matunda.
  9. Manjanko

    Mgomo

    Wa malori Singida.
  10. Manjanko

    Majambazi yateka magari Ipuma Singida, hali ni mbaya!

    Hawa askari wanapaswa kuimarisha doria ai way pia tusiishie kulaumu upande mmoja mara nyingine hawa madera au matingo wao wanahusika kuandaa mpango mzima kindi cha nyuma mwaka jana mwezi wa ; 11"mpakani mwa Singida na ( W) ya Hanang lilotokea tukio la kinyama na muhusika alikuwa Dereva.
  11. Manjanko

    Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Baada ya ajali ya jana leo tena huko Manyoni malori yamefunga barabara hii ni kutokana na mwenzao kutekwa alfajiri ya leo .
  12. Manjanko

    Jinsi ya kudivert simu!

    Hata mm nina shida hiyo kwa hiyo km kuna anayefahamu tutanufaika wengi.
  13. Manjanko

    Hivi Hili ni Bunge Maalum la Katiba Mpya au Bunge la Kujadili Kuhusu Muungano?

    Jamani kwa wale mlioko Moro tupeni taarifa za ajali inayosemekana imetokea maeneo ya Mikese ikiusisha Malori mawili na inasemekana yote yamewaka moto Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
  14. Manjanko

    Nahitaji kununua noah

    Mm ninayo nyeupe au unataka rangi gani? kwa M.7 .huwezi pata utauziwa mtori badala ya nyama gari nzuri used ni kuanzia m9.
  15. Manjanko

    Walionyongwa China, Damu zao mikononi mwa Kikwete

    Walio nyongwa ni nani na nani? kwa sbb hata hivyo walishikiliwa wengi sana.
Back
Top Bottom