Recent content by Manifesto

  1. M

    Natafuta Mwanamke kwa ajili ya kudate-Dodoma

    Natafuta mwanamke wa ku date naye, mimi nafanya kazi Dodoma na ni mkazi wa Dodoma. Kwa taarifa zaidi ni PM. Umri uwe kuanzia miaka 25 - 30 Thanx, Kind regards, Manifesto 2015
  2. M

    Msaada kutoka kwa watafiti au wanataaluma or any other person

    He is very busy!! And discourage ' Silly questions'. So am afraid it might be silly! to him!
  3. M

    Msaada kutoka kwa watafiti au wanataaluma or any other person

    I am writing my research proposal. Sasa, ninasoma article na kuna information kwenye introduction ambayo auther wa hii article ninayoisoma ameitoa kwenye article nyingine. Sasa nashindwa kuelewa nina mcite mwandishi wa hii article ninayoisoma au original auther aliyekuwa quoted na mwandishi wa...
  4. M

    Can there be a positive stories in marriages? All i hear are negative.....!

    Unapopata fursa ya kumshauri mtu kuhusiana na jambo analotaka kulifanya, under limited time, kumsaidia ni ku concentrate kwenye challenges atakazokutana nazo na jinsi ya kuzitatua ili aweze kufanikiwa. Si vyema kutumia mudamwingi kuelezea raha atakazokutana nazo na ukajikuta hujapata muda wa...
  5. M

    Can there be a positive stories in marriages? All i hear are negative.....!

    Story chanya zipo lakini kama unavyojua, mambo mazuri huwa hayavumi, bali habari mbaya husambaa kama moto wa nyikani, hilo ndilo linalofanya habar hasi za kwenye ndoa zinakuwa common kuliko habari chanya. Na pia watu wengi waliopo kwenye ndoa hawapendi kutangaza tangaza mazuri ya wenzi wao kwa...
  6. M

    Mshahara wa december kwa watumishi wa umma

    Mantiki nzima ya hii post yangu ni ukosefu wa hela ambao bila shaka ndo unachomaanisha unaposema "njaa". Kwa hiyo sioni kama unakosea unaposema nnanjaa, uko sahihi kabisa. La msingi ni kuwa ninachokiongea ni tatizo la watu wengi, na waajiriwa wenzangu wengi tu (Hasa hasa wale waajiriwa wa...
  7. M

    Mshahara wa december kwa watumishi wa umma

    Naomba kuchukua fursa hii kuiomba serikali yetu sikivu chini ya uongozi wa Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete, itukumbuke msimu huu wa kuelekea ktk sikukuu kubwa za xmass na mwaka mpya, kwa kutupatia mishahara mapema sisi watumishi wa umma ili angalau familia zetu ziweze kufurahia kwa angalau...
  8. M

    Trafiki acheni hizo wote tuna shida na pesa ya sikukuu

    Tatizo ni kuwa usipowapa hela watakutingishia maka..io hapo wee huku wanakupotezea muda wako, watakagua leseni, wataangalia matairi mara hiki, mara kile yaani ni usumbufu wa hali yajuu. Bora umpe tu buku akanunue unga wewe uokoe muda ukapige dili zako mbele
  9. M

    idara ya upasuaji wa watoto yapoteza daktari mwingine

    Pole sana wafiwa na watanzania wenzangu wote. Kwa hiyo itakuwaje sasa, mtoto akihitaji kupasuliwa. Itabidi serikali ikamuangukie yule aliyeacha kazi ili arejee kazini atupasulie watoto wetu sisi tusioweza kwenda Apollo!
Back
Top Bottom