Recent content by MANI

  1. MANI

    JamiiForums Tanzania Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

    Huyu wa mwanzo mbona anachezea simu
  2. MANI

    JamiiForums Tanzania Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    kufunga wapinzani
  3. MANI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Duuh kifo ni kitu kigumu sana. Namkumbuka sana huyu bwana kwenye events za Jf .
  4. MANI

    JamiiForums Tanzania IMF yawapongeza Rais Samia na Waziri Mwigulu Nchemba

    anajfagilia mwenyewe
  5. MANI

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

    Hapana mpwa hivi sasa hakuna content tena kama mwazo
  6. MANI

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

    old is gold. those days won't come back
  7. MANI

    JamiiForums Tanzania TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    Kuna Moja tulishuka nalo Kabuku tulikaa kwenye mashine karibu madereva wanne tunamwangalia dereva kama atatoa mguu kwenye accelerator lakini wapi ndio kamwe anakandamiza Huku alarm inawaka.
  8. MANI

    JamiiForums Tanzania Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Muheza mwaka karibu wa ishirini sasa maji toka milima ya magoroto hayafiki mjini
  9. MANI

    JamiiForums Tanzania Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

    Uongo unahitaji kumbukumbu nzuri sana vinginevyo ni majanga.
  10. MANI

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ukiwa muongo use na kumbukumbu
  11. MANI

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM

    Huu ni wizi wa serekali kwa raia wake. Unawezaje kukata kodi kwenye pato lilokatwa kodi tayari?
  12. MANI

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Duuh sina cha kuchangia tena
Back
Top Bottom