Recent content by Mangunja

  1. Mangunja

    sehemu nzuri ya kufungua play station

    habari zenu wana jf, naombeni ushauri wenu juu ya sehemu nzuri inayofaa nataka nifungue play station, watoto hata vijana waje wacheze game, nipo dar es salaam, hata kama kuna anaye pangisha frem sehemu inayofaa kwa mradi huo tuwasiliane.. Mtaji wangu ni milioni moja,, ushauri zaidi kuhusu...
  2. Mangunja

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    nipo dar es salaam mbezi ya kimara..
  3. Mangunja

    Mwanamke usimfanyie mwanaume yafuatayo

    hahahahaaaa utapewa hadi makombo sasa..
  4. Mangunja

    Mwanamke usimfanyie mwanaume yafuatayo

    utawacost sio uongo... Na nyie mnaowaita wapenzi wenu mademu mnadhani tunapenda hvyo...
  5. Mangunja

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Vipi mabanda ya kukodisha yanapatikana?
  6. Mangunja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    unataka shilingi ngapi? Uende kigoma mjini
  7. Mangunja

    Kwa Uzoefu Wako: Dada Huyu Kabila Gani?

    pia mama kachanganyika na mchina. Hahahahaaaa. ..
  8. Mangunja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kutoka wap kwenda wap? Na ngaz gan. Pr au sec
  9. Mangunja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    hahahahahaa.kwan unaenda uwanja wa vita.
  10. Mangunja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mie npo temeke. Nataka niende kinondoni. Aliye tayar tuwacliane. 0789762094 elimu ya msingi.
  11. Mangunja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kuna mtu yupo kigoma mjini. Namba 0789762094
  12. Mangunja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kuna ndugu yangu yupo kigoma mjini anataka kuhamia morogoro. 0789762094
Back
Top Bottom