Recent content by mangonjoli

  1. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani kinaonesha Movies za MGM?

    Nimenunua Decoda ya DSTV nimepekua vifurushi vyote sijaona Film za MGM
  2. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani kinaonesha Movies za MGM?

    Anayejua Kingamuzi gani naweza kununua nikaona zile Movie za zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti elfu 26 galoni ya lita 5

    Nitakutafuta boss
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mbu anaweza kuambukiza UKIMWI endapo mtu akimla/meza kwa bahati mbaya?

    Umeuliza swali zuri, Hii shida ishawahi kunitokea. Nilimeza Mbu Club moja ya Usiku Mtwara. Nikawa na presha sana. Baada ya siku 2 nikaenda kwa mtaalamu wa Afya Ndanda Ndogo Shangani. Akanambia nisiwe na wasiwasi hakuna baya. ...Nilishusha punzi lakini bado Wasiwasi uliendelea kuwepo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kwanini hakimu husema Kunyongwa hadi kufa?

    Hii ni Chai sasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza eneo la ekari mbili kasoro robo Mtwara

    Hii mifugo nayo ipo ndani ya hiyo bei?
  7. M

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TCL 55" led

    Mbona hujaweka number ya simu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Bangosilo ni funzo kwa mimi na wewe

    Na wauza maji kwa Toroli wote wamekuwa Madereva wa Bodaboda
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

    Acha. uongo mimi ni mfanyabiashara nanunua Tv kariakoo tena kwa bei ya jumla. Lg na Samsung hazipungui laki 4. Tena hiyo ni bei ya jumla . sembuse huyo dada yako aliyenunua rejareja. Mtu muongo simpendi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa viatu msikitini Mtwara akiona cha moto

    Ijumaa ya leo Tarehe 4/10/2019 mwizi inayesemekana mzoefu wa wizi misikitini ilimkuta Arobaini yake baada ya kudakwa na waumini mkoani Mtwara katika msikiti mkubwa wa Sokoni.maeneo ya Soko kuu mtwara mjini. Mwizi huyo aliyekamatwa na waumini waliomshtukia mapema akiwa katika harakati akiwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini Zanzbar marufuku mchezo wa ngumi?

    Wazanzibar ni Hatari kwa Karate na Judo michezo ambayo ni hatari zaidi kuliko Boxer
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta video clip ya Tangazo la Chai Jaba niwape wanangu kama cartoon

    Mimi natafuta Tangazo la zamani la Vipi lambo ? .....Pancha bwana ......Pancha wakati kuna OKO . DAH lile Tangazo lilitisha miaka ya 90
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji na wake zake wahukumiwa kwenda jela

    Habari ndefu lakini haielezei huyo mchungaji anatokea nchi gani
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bafu la nyumba linaweza kuwa hatari kwako na familia yako.

    Kwenye kuteleza mikono huwa inatusaidia sana. Bila ya mikono kuwahi kuutetea mwili wengi tungekuwa tushakufa au kupoteza kumbukumbu.
Back
Top Bottom