mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
Ijumaa ya leo Tarehe 4/10/2019 mwizi inayesemekana mzoefu wa wizi misikitini ilimkuta Arobaini yake baada ya kudakwa na waumini mkoani Mtwara katika msikiti mkubwa wa Sokoni.maeneo ya Soko kuu mtwara mjini.
Mwizi huyo aliyekamatwa na waumini waliomshtukia mapema akiwa katika harakati akiwa kashalivaa dundo ambalo sio lake. Alipobanwa alianza kubabaika na kuanza kukimbia ndipo alipokamatwa na waumini na kumpa kashikashi kidogo kabla ya kumuingiza ndani ya msikiti kwa usalama wake kabla ya Difenda ya polisi kufika eneo la tukio na kumchukua.
Mmoja wa Vijana waliomkamata alisema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakiibiwa mpaka kuamua kuweka mtego uliofyatuka ijumaa ya leo Nimekuwekea video ya Tukio hapo chini . Hivyo viatu alivyovishika ndio inasemekana alivyoviiba