Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,204
- 12,700
Grand wangu alinisimulia hii stori.
Alisema unajua kwanini jaji anapotoa hukumu husema unahukumiwa kunyongwa hadi kufa?
Hapo zamani kuna mtu alikuwa amefanya mauji. Alipoenda mahakamani akahukumiwa kifo. Sasa jaji akatamka kuwa unahukumiwa adhabu ya kunyongwa.
Siku ya kunyongwa yule bwana akatundikwa kwenye kamba na stuli ikapinduliwa. Alivyoning'inia kidogo akatokea mtu wa busara na anayeheshimika na kusema mshusheni haraka. Wakamshusha na kumuuliza kwanini umesema tumshushe?
Akawajibu, hukumu yake ilikuwa ni kunyongwa na si kunyongwa mpaka kufa, ameshatumikia adhabu yake.
Kuanzia siku hiyo majaji wamekuwa wakisema umehukumiwa "Kunyongwa mpaka kufa".