Recent content by Mango man

  1. M

    Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Ukiwa na Hela mkuu,hao OSHA wanaoshwa tu vizuri mbona
  2. M

    Gerald Hando: Diva ni mtangazaji haramu, kakengeuka, katuweka kwenye wakati mgumu

    Huyu manzi ana kimavi si hapo tu alipo ila alipotoka kabla ya hapo alikuwa anachukiwa kinoma,ni hasla omba omba,ana mashauzi kama ana kunya keki,na anadharau utadhani ni eloni maski,kifupi mbali na Ile sauti nzuri ana damu ya kunguni ila pia mganga itakuwa kachezesha vibuyu maana si kwa chuki za...
  3. M

    Ukweli usemwe: Israel Mbonyi ni msanii wa studio

    Ushaambiwa hizo topiki hazihusiki kwenye Muziki wa Mungu ili mradi watu wamebarikiwa.Topic weka Kwenye miziki yenu huko mfano ule wa zuchu na whozo nimesikia yule mwiko wa pilau anamwambia mwanaume akaoshe map*mbu
  4. M

    Mtu asiye na jinsia

    Wazungu kila Wanachofanya ni ili wajust fy kula na kuliwa ndogo hakuna lolote lingine wapuuzi hawa.Eti non binary
  5. M

    Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

    Mm na swali ,Hilo kofia ulienda nalo au ulilikuta huko huko mlimani?
  6. M

    P-Diddy Party List Names (Celebrities Politicians and Royalty)

    Sasa naunganisha dot zile waiti pati za zari ex wa jamaa
  7. M

    Sakata la P Diddy: Amekosea wapi na kwanini sasa?

    Ibada za kishetani kula tigo ndio sifa zao, unaishi nchi gani mkuu,usijue mambo obvious hivi?Na matajiri wakubwa ndio zao
  8. M

    Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Sijawahi msikiliza huyu jamaa hadi Leo hii,Kwa hiyo ndio anaongea hivyo?kazaliwa unguja Nini?Halafu achana na mambo ya kuwa good upstairs hapa tunazungumzia mafuta,na kama mwanaume anapakwa mafuta ili apewe fame huyo sio mpuuzi?
  9. M

    Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Mtu anataka rosi roisi wakati uwezo wake wa bajaji,anapewa na Didi Halafu jicho linaliwwa.Mwanadamu mpumbavu husema pesa ni Kila tu
  10. M

    Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Na wewe mbona inajulikana ni mpakwa mafuta,Tena unatamani kishenzi siku hiyo aliyoitwa huyo boss wenu na godfather wko na wewe ungekuwepo
  11. M

    Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Imagine mtu mzima unazungumza utumbo hivi?Tushafamu ukiingia jumba la didy anafunga mlango,Cent hakuweza kukimbia sembuse nyie na vimatako vyenu?Halafu Didi tunajua ndio mtoa tuzo na nominees za Bet,huyo msanii wako nashangaa anaimba ushuzi na ashakuwa nominated mara kibao,mwenyewe nlikuwa...
  12. M

    Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

    Mwenye Enzi Mungu yupo kazini na mtaaibika sana,yameanza ya Diddy na kipondo Cha mbeya ni trailer.Mna haribu watoto wasio na hatia Kwa nyimbo zenu za ushuzi kwanini?Halafu mnajifanya kumtaja mungu wenu mnaomjua nyie
  13. M

    Nani amekosea hapa kati yangu na mzungu?

    Wazungu wengi mademu hawana takle labda aminye mfupa
  14. M

    Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID

    We utakuwa tid mwenyewe au mla ndumu mwenzie,gerari hia
  15. M

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Sasa kama wewe wasema hivyo wakristo waseme nn?maana sijaona dini iliyosifiwa na jamaa kama uislam na Quran.Nyie ndio wale wafia dini na wagumu kujifunza,tulitakiwa tuchemke ni sisi wakristo ambapo Kuna sehemu kasema hata sio dini ya kweli.
Back
Top Bottom