Sijawahi kufikiria juu ya hili. Nitalifanyia research kujua faida na hasara zake labda kwenye ujenzi mwingine nita consider hii option. Kwa sasa nilipendelea mnara kutokana na project yenyewe! Ni sehem najenga apartments na zitakuwa na ghorofa moja so nilishauriwa kuweka mnara just in case hata...
Habari!
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi
Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp...
Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno.
Hoja za...
Habari!
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta wateja wa madini ya quartz kwa mzigo wa kuanzia tani moja (1 Tonne) Quartz hizi zinapatikana kwa mfumo wa Mapande (hii ni quartz ambayo haina umbo maaalumu yani ni mwamba ambao tunaukuta wote ukiwa kioo kwa kuwa mwamba huu ni mkubwa...
Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu!
Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Pisi 225 Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo...
Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu!
Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo Morogoro au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.