Recent content by mangi meri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shilingi 40,000 Chato hadi Mwanza kwa ndege za ATCL. Vipi mikoa mingine? ATCL mtufikirie

    Za shirika gani? ATCL au As salaam air?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Mwenye Mkoa wake kaja na bonge la Mkwara na wala hatanii na Wamakonde nao wamesema wataondoka na Mtu

    Bro kwanini hujachukua Mfano kwa Anthony Mtaka? Jokate kafanya kipi Cha ajabu kisarawe upande was Elimu ambacho kimeleta matokeo chanya?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Graduate ameacha kazi ya ualimu na kuamua kuwa mpiga gitaa na muimbaji Coco Beach. Je, yupo sahihi?

    Ebana hii ishu n kweli? Mwana nmepiga nae kitabu na Hilo gitaa hajawahi kulisahau.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabwe Tumaini girls high shool

    Maelezo yako yamenisaidia sana mkuu. Nimemuhamishia dogo hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yapi nizingatie kabla sijalipia kiwanja?

    Kwa dsn kupigwa hakuna mjanja... ila nakushauri nunua kwa yale makampuni ya viwanja then lipa kwa installment hii itakupa nafasi kujua kama kiwanja ni magumashi kabla hujatoa pesa ndefu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa kampuni na uongozi wa Kilimanjaro Express kwa kuanzisha route mpya ya Nyanda za juu kusini

    Yutong za KLM ni body tu ila engine zake ni scania 94.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Goba

    We jamaa unaonekana una ustarabu flani ivi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dar coach hapa tuwape pongezi jamani

    Yap!! Walibadili rear engine ikawa front engine.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dar coach hapa tuwape pongezi jamani

    CSN na CSL ni bodi za Volvo zamani ziliitwa TSK zilikuwa engine nyuma. Hiyo BUL ni bodi ya IRIZAR hakuna mkono wa Dar coach hapo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa Uchumi Tanzania: Maonesho ya biashara ya kimataifa ya Sabasaba yageuka kuwa maonesho ya shughuli za Taasisi za serikali

    Hapa kipofu anamuongoza kiziwi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] "hulipajwe"? Ulikuwa unamaanisha nini hapa? Achana kwanza na "hada"
  11. M

    JamiiForums Tanzania Askari wakistaafu wanapata tabu sana. Nimemkuta OC-CID anauza chips hapa Chalinze

    Mi nko serikalini ila ntaacha tu kazi malengo yangu yakikaa sawa. Kuajiriwa ni kuendeleza chain ya umasikini Wallah
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ile tabia ya majirani kuachiana funguo imepotelea wapi?

    Wife huo mchezo kaenda kuujulia home iringa mwaka jana...et na yy akaanzisha na majirani kuwaachia funguo. Nlivojua nlibadili kwanza kitasa af ndo nkampa onyo asiridie tena
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia karibu mapato yote kulipa mishahara na kuendesha ofisi, this is ridiculous

    Aloo bora form five mwende shuleni sasa....ivi hyo mishahara unadhani yote wanalipwa ma engineer wa huo mradi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hp Eliebook laptop bei poa inauzwa

    Ni nzuri kiasi chake. Ntakupa 150k. Kama upo tayari nijuze mapema.
Back
Top Bottom